Hilo jiwe limehang, hapo chini pana nini hadi lisifike chini?
kusini mwa tz hii kitu inaitwa NDWIKA, hapo unataka tuwaajabie waarabu buree! nenda nanyumbu, kijiji kabla ya kuingia mangaka.
Picha hiyo inapingana na kanuni za uvutano za dunia. Kama ni kweli, basi ni miongoni mwa maajabu ya dunia na kwa kutenda hazi zaidi nitasema ni miujiza ya mwenyezi mungu. Na kama ni miujiza ya mwenyezimungu basi kuna ujumbe hapo ambao bado hatujaufahamu.
"Picha" inaweza kuwa ya kweli lakini je, ni kweli kuwa jiwe lina hang?
Picha hiyo inapingana na kanuni za uvutano za dunia. Kama ni kweli, basi ni miongoni mwa maajabu ya dunia na kwa kutenda hazi zaidi nitasema ni miujiza ya mwenyezi mungu. Na kama ni miujiza ya mwenyezimungu basi kuna ujumbe hapo ambao bado hatujaufahamu.
Hiyo picha wala haipingani na physics bali inakubaliana. Refer Newton's first law of motion: "Anybody will continue in its state of rest or uniform motion unless disturbed by external forces otherwise". That stone in the photo obeys this law.Mbona ni against na physics laws!!
Mkuu hapo vp kuhusu gravitational force?Hiyo picha wala haipingani na physics bali inakubaliana. Refer Newton's first law of motion: "Anybody will continue in its state of rest or uniform motion unless disturbed by external forces otherwise". That stone in the photo obeys this law.
May be physics contradicts itself. Mi nime-argue kwa physics laws.Mkuu hapo vp kuhusu gravitational force?
according to physics, kito kizito kama hilo jiwe hakiwezi kuelea kwenye anga ya hapo ilipo kwani itavutwa na gravitational force. ndio maana ukirusha jiwe juu au kitu chochote kizito ni lazma kitarudi chini tuu.