Maajabu ya mwanaume niliyenae

Huyo anakupenda, na anakujali, na ankuheshimu pia, sasa kama unaona kukazwa kazwa kila mara na kushikwa shikwa maziwa ndo mapenzi haya kawatafuti hao, ambao ndo wengi, usikute ni tabia yake na ana malengo mazuri tu na wewe.
 
Ana wanawake wengi na anahudumia wote.

So ukienda anakukaza kisawasawa ili kukuondo mahamu. Ukiondoka anapiga mwingine nae anakazwa kisawasawa.

Huyo jamaa ni mkazaji kisawasawa na muhongaji mzuri so ukiwa nae enjoy ukiondoka acha wengine wafaudu.
 
Upande mwingine wa shilingi ni muhimu tena sana.
Otherwise huyu dada akija kupata kazi nzuri na kujiweza kiuchumi yuko likely kumuacha jamaa.

Hitaji la kwanza la mwanamke katika uhusiano wa kimapenzi si pesa wala vitu
Waambie hao...they think love needs material things,,wakati udhaifu wa mwanamke upo maskioni..!
 
Upande mwingine wa shilingi ni muhimu tena sana.
Otherwise huyu dada akija kupata kazi nzuri na kujiweza kiuchumi yuko likely kumuacha jamaa.

Hitaji la kwanza la mwanamke katika uhusiano wa kimapenzi si pesa wala vitu
Nani amekuambia si pesa?

Labda wewe tu.
 
Hamueleweki ttz lenu, kipi ni kipi. Mkipewa mahitaji bila tendo mnalalama hukufuata kula, hukipewa tendo mbona hunihudumii, Cjui shukrani yenu ipo wapi ktk maisha yenu
 
Mtu yupo bsy anatafuta hela ya kukuhudumia tena unalalamika! Wanawake nyie neenden mkaishi hk Jupita
 
Ndoumeamua uje unisemee hum?...basi kuanzia leo nitakutimizia hayo unayohitaji
 
Eti " ananikaza kisawasawa" loh wanawake wa mjini mna mambo sana nyie. Haki ya nani ndio maana hata quran inasema nyie moton ndio mtakuwa wengi sana maana hamnazo.
 
Fanya maisha kuwa raisi sawa tafuta na ww wa kukupetpet.Huyo jamaaa kama alivyokufanya waziada na ww mfanye wa zalula,kifup anamtu anaye deal naye sana ww nikama bahat mbaya vile basi tafuta wako wabahat nzur maisha yaende. PENZI LENU LILISHACHOKAGA
 
Eti " ananikaza kisawasawa" loh wanawake wa mjini mna mambo sana nyie. Haki ya nani ndio maana hata quran inasema nyie moton ndio mtakuwa wengi sana maana hamnazo.
Hahahahahahahhaha sasa kulan c inasema kuna pepo hyo fildausi watakuwa wengi wenye macho kama vikombe na kiunokama dondola.??? au cyo shekhe
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…