Hakyamungu mtu akija kupata formula ya kuelewa mahtaj ya mwanamke atakua milionaire
Hapo sasa anawekwa ujinga keshokutwa anakuja na thread ya kulia lia humuHawaridhikagi hawa viumbe
usikute kuna makungwi wa instagrama na watsaap group washaanza kumuingiza mkenge..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] girls bhaana!! sa kama mtu anakupa quantitative caring zote izo kasoro ka qualitative caring cha kukupetipeti tu una doubt upendo wake!!?? daahhh nouma sana.... but i can deduct that may be he is so busy so take it easy. But take this "If he don't love you the way you want doesn't mean he don't love you at all".Habari zeny wana jamii forum....jaman leo nimekuja na stor inayonihusu..inshort nimemaliza chuo mwaka wa tatu sasa niko home tuu no.job..sasa jamaang tang nikutane nae ni 2 years sasa ananiudumia kwa.kila kitu mpaka credt jamani...kanipangia na analipa kod na matumiz yote napata ila haniambiagi Ananipenda wala kanimiss au kamiss masham.sham yang adi nimwambie naham ae ndipo.atume naul noendei....na ananikaza kisawasawa.nikienda...sasa nimweleweje...kuna upendo.apo? matumiz yote napata ila.hanipeti peti nimweleweje?
Unaenza tandikia watu jamvii[emoji28][emoji28]Wenzako wanalilia kuhudumiwa we unalilia kupetiwa, vitu vingne havtakag ujuaj
Mbona umeandika kama jemsi delishazHabari zeny wana jamii forum....jaman leo nimekuja na stor inayonihusu..inshort nimemaliza chuo mwaka wa tatu sasa niko home tuu no.job..sasa jamaang tang nikutane nae ni 2 years sasa ananiudumia kwa.kila kitu mpaka credt jamani...kanipangia na analipa kod na matumiz yote napata ila haniambiagi Ananipenda wala kanimiss au kamiss masham.sham yang adi nimwambie naham ae ndipo.atume naul noendei....na ananikaza kisawasawa.nikienda...sasa nimweleweje...kuna upendo.apo? matumiz yote napata ila.hanipeti peti nimweleweje?
Hahahahaha, mkuu Chadema imeiaje kwenye mada hii?Mleta Mada ni mfano wa think tank wengi wa chadema
Umeenda mbali sana mkuu taratibu tu tutafika.Kama alivyo mama yako