Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,075
- 6,774
watoto wanaotakiwa kutolewa mzazi mmoja akakataa wanakuwa bright sana sijui kwanini, my daughter is one of them nlikataa kutoa mimba but now kila wakati namuambia mungu asante anafanya mambo systematic hadi raha