Ni kweli ushauri wa baiskeli umetolewa na wadau wengi,me pia nilifikiria sana! Lkn hebu mnisadie hapa,zawadi km hiyo haitawaumiza wale kaka zake!? Nahofia wanaweza kuona nampendelea,hapo naweza kuwatenga badala ya kuwajenga. Mawazo yangu nipate zawadi ambayo itawafanya kaka zake nao wajitahidi kufanya vizuri zaidi sababu si wabaya sana!kama wadau walivyoshauri mnunulie baiskeli bila kusahau kumfungulia acc.
Ahsante sana mkuu jje's nazingatia sana ushauri wako.
Mkuu jje's hebu nisaidie kidogo hapo,hivyo viwango ulivyotaja ni thamani ya vitu unavyowanunulia km zawadi au unawapa cash!? Ukinijibu hapo ntarudi ili nijenge vizuri hoja yangu.karibu sana Mkuu na endelea kumpa motisha mtoto awe na changamoto katika masomo yake.
Mimi nina watoto wawili na huwa nawapa motisha for every successful step in their studies.
iko hivi: position 1 i give 30,000= , 2 i give 20,000= na 3 i give 10,000= for 3and 5 i give 5,000= and position 6 to 10 i give 1000.
this has made my kids to strugle a lot. the first one always gets 30,000 each term while the 2 one normally gets 5,000. One day he came up with an idea that he must get the 30,000 as his brother and i see how he wants that money badly.
that is only my motives but you can arrange yours which will motivate your three kids and not only the one who scores position one.
Regards.
nawapa Cash then is for the them kujinunulia vitu vidogovidogo like games, na kwenda kwenye michezo tofauti tofauti za watoto. I did not mention b4 kuwa nina boys tu na hivyo wanapendaga vitu vidogo vidogo like movies so they get an opportunity to buy the movies easly.
Kwa kufanya hivyo huwa wanajitahidi sana na nimeshuhudia kwa macho yangu mwenyewe.
Hope hutaniambia naharibu watoto kwa kuwapa cash as vitu kama baiskeli wanavyo na niliona sina motisha mwingine mbali na hapo.
kuwatoa out ni jukumu langu kama mzazi so sikuona kama itakuwa motisha kwao.
Hope umenipata na si lazima ufanye kama mimi bali waweza tafuta something which will make them pull their socks in their studies.
Ahsante mkuu Uso wa nyoka nauchukua ushauri wako na ntauzingatia. Ubarikiwe sana mkuuNajifunza mengi sana kupitia changamoto wanazopitia watu humu ukiwemo wewe aisee!
Maisha ni kukomaa mwenyewe la sivyo utakufa kwa stress.
Nakushauri umtafutie mtoto kozi yoyote nzuri ya kumfanya awe na kitu cha ziada kitakachomfaa katika maisha yake ya baadae kwani dunia imejaa ushindani mkubwa na alie na ujuzi wa vitu vingi au mtaji indie alie na nafasi ya kusurvive. Tafuta kozi ya mziki kama kupiga piano, gitaa, Kujifunza kompyuta, au hata karate. Zawadi huchakaa lakini ujuzi hudumu. Kikubwa angalia interests zake yeye kabla ya kuchagua cha kumfundisha.
Kwa nyongeza tu ni kuwa, ukiwa na mtoto mwenye akili, unapaswa kumuongezea changamoto ili ubongo wake uzidi kukua kwani usipofanya hivyo atarudi kuwa normal. Unavyopaswa kumpatia inapaswa viwe vitu vya kumfikirisha lakini huku vikiwa vyenye kufurahisha ili asihisi kuwa ni mzigo wa nyongeza juu ya masomo anayosoma.
Ahsante sana mkuu Analyse ni kweli yataka Moyo sana! Wakati mwingine unalazimika kuwa km zezeta ili jamii isikutafisiri vibaya. Nashukuru Mungu kwa sasa ni story tu. Na huwezi amini nimekaa hapa mjini mwaka wa 8 huu,nimefanikiwa zaidi kimaisha kuliko maisha yangu ya nyuma.Me ngoja nikupe pongezi za uvumilivu tu mkuu,kumvumilia mke mbabe sio kazi ndogo
karibu sana Mkuu na endelea kumpa motisha mtoto awe na changamoto katika masomo yake.
Mimi nina watoto wawili na huwa nawapa motisha for every successful step in their studies.
iko hivi: position 1 i give 30,000= , 2 i give 20,000= na 3 i give 10,000= for 3and 5 i give 5,000= and position 6 to 10 i give 1000.
this has made my kids to strugle a lot. the first one always gets 30,000 each term while the 2 one normally gets 5,000. One day he came up with an idea that he must get the 30,000 as his brother and i see how he wants that money badly.
that is only my motives but you can arrange yours which will motivate your three kids and not only the one who scores position one.
Regards.