Mine eyes
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 6,581
- 7,231
Ndio waeleweshwa sasa,Sijajua jina lake ila kuna la kuweka kwenye supu na lile la corona, na hilo sasa ambalo huwa na majani mazito kuliko hayo mawili, yanafanana sana#
Yesiiiii ndo hilo hilo mkuu , nmetumia vidonda ambavyo vimenitesa kwa mda vimekwishaHuo ni Mzungwa/Mpatakuva/Tetradenia Riparia/Ginger Bush na majina mengine mengi,
Ni Dawa nzuri sana ya Chango, Malaria, Jino, Kutapika na Magonjwa yote ya Tumbo.
Majani yanatofautiana muonekano kulingana na sehemu iliyoota, yakikomaa na kustawi vizuri hutoa maua yakuvutia,
Ni machungu sana na uchungu huzidiana kulingana na rutuba ya eneo lilipoota, kama hakuna rutuba nzuri huzidi kua machungu,
Wengi hupanda kama bustani ya kupendezesha nyumba.
View attachment 2326387

Kumbe yapo na tofauti coz ninapoishi basi kutakuwa species tatuNdio waeleweshwa sasa,
Hilo jani ulilopost ni common sana, hakuna cha kufanana na Corona wala Malaria wala mazito wala manene huo ni Mzungwa,
Mwengine huoView attachment 2326388

Nashukuru kwa kunifahamisha , kuzungumziwa sio tatzo point yangu apo imeniponyesha, pia hili linaweza kuchagiza uzingativu wamatumizi.Mkuu kabla Bibi yako hajakuotesha hata humu Jf limezingumziwa sana kwenye nyuzi za vidonda vya tumbo.
Hahaha labda hajawahi kuona hizo nyuzi mkuuMkuu kabla Bibi yako hajakuotesha hata humu Jf limezingumziwa sana kwenye nyuzi za vidonda vya tumbo.
Yah ni kweli kabsa ila sio kwa kila mtu , coz wengi hawawezi kuelewa hii kitu kwasababu wengi wanamaangaiko ya kimwili tuWakati mwingine ukitulia akili na kuifuatulia ndoto unaweza kupata hazina iliyofichwa, Mali, Dawa, au Pesa.
Mimi Kuna ndoto nilikuwa naota natumwa niende sehemu flani, anayenituma alikuwa Babu. Ilinitesa sana Ile ndoto Hadi siku nikaamua kuifuata Yale maelekezo mchana!
Cha ajabu nilipata kitu Cha thamani sana na ndoto Ile kupotea mazima!!
Angalizo:ndoto ni utajili, ndoto ni Mali , ndoto ni uchawi, ndoto ni maono! Inategemea umeota au kuoteshwa Nini!!
Mtu wa Mungu,hujasema haya majani unayatafuna au unayatwanga na kuyaloweka kwenye maji then unakunywa? Hebu elekeza vizuri kidogo uliyatumiajeNilipatwa na vidonda vya tumbo vilivyosababishwa na h. pylori, mwanzoni kabla ya kugundua tatizo nilihisi Nina tatizo la moyo, nilitumia pesa milioni na pointi kufanya vipimo mbalimbali kma umeme wa moyo na nk, mwishoni nikapima damu kuangalia nikakutwa na hpylori, nikapata heligo kiti , baada ya hapo nikawa nasumbuliwa na gesi na maumivu ya mgongo na vichomi, siku moja usiku nikiwa kwenye usingizi niliota ndoto, kuna bibi kizee akanielekeza jani hilo apo kwenye picha , nitumie kwa mwezi mmoja asubuh na jioni nitafune majani manne, nilipozinduka usingzini nikatafakari sana hyo ndoto nikaipuuzia , baada ya wiki moja ile ndoto ikajirudia , ikabidi nichukue maamuzi ya kutumia majani hayo kwani kwa mazingira ninayoishi ni mengi mno , nikamaliza mwezi, tumbo likaacha kuuma sasa namiezi tisa sijasikia yale maumivu tena.Nikawaza nitumie yale maono kupiga pesa kwani wenye tatzo hilo ni wengi , nisage unga wake ili watu wasijue niuze, usku wa siku hyo nikaota yule bibi kizee kanijia tena akanionya kuhusu maamuzi yangu , akaniambia hyo dawa napaswa kuwaonyesha watu bure, marafiki wangu wakwanza ambao mda mwingi nakua nao niwana jamii forum wenzangu , nikaona niwamegemee ujuzi kidogo , ili ambae anayafahamu hayo majan aweze tumia.View attachment 2326327
Mimi nilikua natafuna majani matatu mpka matano asubuhi na jioni kwa mda wa mwezi mmoja vidonda kwisha, pia nmegundua na mjegeje unapiga kazi balaa na unatema sumu umbali wa nusu mita tofauti na zaman.Mtu wa Mungu,hujasema haya majani unayatafuna au unayatwanga na kuyaloweka kwenye maji then unakunywa? Hebu elekeza vizuri kidogo uliyatumiaje
HongeraNilipatwa na vidonda vya tumbo vilivyosababishwa na h. pylori, mwanzoni kabla ya kugundua tatizo nilihisi Nina tatizo la moyo, nilitumia pesa milioni na pointi kufanya vipimo mbalimbali kma umeme wa moyo na nk, mwishoni nikapima damu kuangalia nikakutwa na hpylori, nikapata heligo kiti , baada ya hapo nikawa nasumbuliwa na gesi na maumivu ya mgongo na vichomi, siku moja usiku nikiwa kwenye usingizi niliota ndoto, kuna bibi kizee akanielekeza jani hilo apo kwenye picha , nitumie kwa mwezi mmoja asubuh na jioni nitafune majani manne, nilipozinduka usingzini nikatafakari sana hyo ndoto nikaipuuzia , baada ya wiki moja ile ndoto ikajirudia , ikabidi nichukue maamuzi ya kutumia majani hayo kwani kwa mazingira ninayoishi ni mengi mno , nikamaliza mwezi, tumbo likaacha kuuma sasa namiezi tisa sijasikia yale maumivu tena.Nikawaza nitumie yale maono kupiga pesa kwani wenye tatzo hilo ni wengi , nisage unga wake ili watu wasijue niuze, usku wa siku hyo nikaota yule bibi kizee kanijia tena akanionya kuhusu maamuzi yangu , akaniambia hyo dawa napaswa kuwaonyesha watu bure, marafiki wangu wakwanza ambao mda mwingi nakua nao niwana jamii forum wenzangu , nikaona niwamegemee ujuzi kidogo , ili ambae anayafahamu hayo majan aweze tumia.View attachment 2326327
Hapo kwenye bold ni mmea gani? sumu gani hiyo na kutka wapiMimi nilikua natafuna majani matatu mpka matano asubuhi na jioni kwa mda wa mwezi mmoja vidonda kwisha, pia nmegundua na mjegeje unapiga kazi balaa na unatema sumu umbali wa nusu mita tofauti na zaman.