Maajabu ya mmea huu

Maajabu ya mmea huu

Yapo ya aina tatu yanayofanana , yanayopikia supu ni yombo yanaharufu flani hivi , kuna aina nyingne nyembamba yale ya corona sio hayo, ninalozungumzia ni aina ya tatu linakua na jani zito na shina nene kuliko hayo mawili
Sio mzugwa kweli?
 
Jamani ndio hili au ni jingine
Screenshot_20220709-114628.png
 
Yapo ya aina tatu yanayofanana , yanayopikia supu ni yombo yanaharufu flani hivi , kuna aina nyingne nyembamba yale ya corona sio hayo, ninalozungumzia ni aina ya tatu linakua na jani zito na shina nene kuliko hayo mawili
Yapo njombe tunapanda mengine kama maua
 
Huo ni Mzungwa/Mpatakuva/Tetradenia Riparia/Ginger Bush na majina mengine mengi,

Ni Dawa nzuri sana ya Chango, Malaria, Jino, Kutapika na Magonjwa yote ya Tumbo.

Majani yanatofautiana muonekano kulingana na sehemu iliyoota, yakikomaa na kustawi vizuri hutoa maua yakuvutia,

Ni machungu sana na uchungu huzidiana kulingana na rutuba ya eneo lilipoota, kama hakuna rutuba nzuri huzidi kua machungu,

Wengi hupanda kama bustani ya kupendezesha nyumba.

View attachment 2326387
Upo sahihi naona hata kutibu ngili yanafaa haya
 
Nilipatwa na vidonda vya tumbo vilivyosababishwa na h. pylori, mwanzoni kabla ya kugundua tatizo nilihisi Nina tatizo la moyo, nilitumia pesa milioni na pointi kufanya vipimo mbalimbali kma umeme wa moyo na nk, mwishoni nikapima damu kuangalia nikakutwa na hpylori, nikapata heligo kiti , baada ya hapo nikawa nasumbuliwa na gesi na maumivu ya mgongo na vichomi, siku moja usiku nikiwa kwenye usingizi niliota ndoto, kuna bibi kizee akanielekeza jani hilo apo kwenye picha , nitumie kwa mwezi mmoja asubuh na jioni nitafune majani manne, nilipozinduka usingzini nikatafakari sana hyo ndoto nikaipuuzia , baada ya wiki moja ile ndoto ikajirudia , ikabidi nichukue maamuzi ya kutumia majani hayo kwani kwa mazingira ninayoishi ni mengi mno , nikamaliza mwezi, tumbo likaacha kuuma sasa namiezi tisa sijasikia yale maumivu tena.Nikawaza nitumie yale maono kupiga pesa kwani wenye tatzo hilo ni wengi , nisage unga wake ili watu wasijue niuze, usku wa siku hyo nikaota yule bibi kizee kanijia tena akanionya kuhusu maamuzi yangu , akaniambia hyo dawa napaswa kuwaonyesha watu bure, marafiki wangu wakwanza ambao mda mwingi nakua nao niwana jamii forum wenzangu , nikaona niwamegemee ujuzi kidogo , ili ambae anayafahamu hayo majan aweze tumia .View attachment 2326327
Ndugu yangu hayo majani manne kuyamaliza ni issue uwa ni machungu na yanakereeketa hatari. Lakini ni dawa ya magonjwa mengi hadi kansa ya utumbo.
 
Wakati mwingine ukitulia akili na kuifuatulia ndoto unaweza kupata hazina iliyofichwa, Mali, Dawa, au Pesa.
Mimi Kuna ndoto nilikuwa naota natumwa niende sehemu flani, anayenituma alikuwa Babu. Ilinitesa sana Ile ndoto Hadi siku nikaamua kuifuata Yale maelekezo mchana!
Cha ajabu nilipata kitu Cha thamani sana na ndoto Ile kupotea mazima!!
Angalizo:ndoto ni utajili, ndoto ni Mali , ndoto ni uchawi, ndoto ni maono! Inategemea umeota au kuoteshwa Nini!!
Aisee inawezekana.
Kuna ndoto naziota, nyingi, za kawaida tu sema location ni moja for about 9 yrs in a row.
 
Nilipatwa na vidonda vya tumbo vilivyosababishwa na h. pylori, mwanzoni kabla ya kugundua tatizo nilihisi Nina tatizo la moyo, nilitumia pesa milioni na pointi kufanya vipimo mbalimbali kma umeme wa moyo na nk, mwishoni nikapima damu kuangalia nikakutwa na hpylori, nikapata heligo kiti , baada ya hapo nikawa nasumbuliwa na gesi na maumivu ya mgongo na vichomi, siku moja usiku nikiwa kwenye usingizi niliota ndoto, kuna bibi kizee akanielekeza jani hilo apo kwenye picha , nitumie kwa mwezi mmoja asubuh na jioni nitafune majani manne, nilipozinduka usingzini nikatafakari sana hyo ndoto nikaipuuzia , baada ya wiki moja ile ndoto ikajirudia , ikabidi nichukue maamuzi ya kutumia majani hayo kwani kwa mazingira ninayoishi ni mengi mno , nikamaliza mwezi, tumbo likaacha kuuma sasa namiezi tisa sijasikia yale maumivu tena.Nikawaza nitumie yale maono kupiga pesa kwani wenye tatzo hilo ni wengi , nisage unga wake ili watu wasijue niuze, usku wa siku hyo nikaota yule bibi kizee kanijia tena akanionya kuhusu maamuzi yangu , akaniambia hyo dawa napaswa kuwaonyesha watu bure, marafiki wangu wakwanza ambao mda mwingi nakua nao niwana jamii forum wenzangu , nikaona niwamegemee ujuzi kidogo , ili ambae anayafahamu hayo majan aweze tumia .View attachment 2326327
Haya ni kama majani ya numbu vile
 
siku moja usiku nikiwa kwenye usingizi niliota ndoto, kuna bibi kizee akanielekeza jani hilo apo kwenye picha , nitumie kwa mwezi mmoja asubuh na jioni nitafune majani manne, nilipozinduka usingzini nikatafakari sana hyo ndoto nikaipuuzia , baada ya wiki moja ile ndoto
Heading ingekuwa maajabu ya ndoto na bibi kizee, hapo mmea hauna maajabu
 
Ndugu yangu hayo majani manne kuyamaliza ni issue uwa ni machungu na yanakereeketa hatari. Lakini ni dawa ya magonjwa mengi hadi kansa ya utumbo.
Mkuu ukiyala kwa mda wa wiki tu unayazoea, wala huwezi kuhis uchungu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom