min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 46,529 Reaction score 128,098 Aug 18, 2022 Thread starter #61 James Comey said: Aisee inawezekana. Kuna ndoto naziota, nyingi, za kawaida tu sema location ni moja for about 9 yrs in a row. Click to expand... Mkuu wewe nafsi yako imeamka kujitambua , umatakiwa ufanye spiritual meditation ili uwe active.
James Comey said: Aisee inawezekana. Kuna ndoto naziota, nyingi, za kawaida tu sema location ni moja for about 9 yrs in a row. Click to expand... Mkuu wewe nafsi yako imeamka kujitambua , umatakiwa ufanye spiritual meditation ili uwe active.
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 46,529 Reaction score 128,098 Aug 18, 2022 Thread starter #62 Faana said: Haya ni kama majani ya numbu vile Click to expand... Numbu sjajua mkuu
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 46,529 Reaction score 128,098 Aug 18, 2022 Thread starter #63 Faana said: Heading ingekuwa maajabu ya ndoto na bibi kizee, hapo mmea hauna maajabu Click to expand... Kutokewa na maono ndotoni kwako ni maajabu ila kuna watu wengi tu nikawaida mno , mm apo sioni cha ajabu zaidi ya hiyo nguvu ya dawa.
Faana said: Heading ingekuwa maajabu ya ndoto na bibi kizee, hapo mmea hauna maajabu Click to expand... Kutokewa na maono ndotoni kwako ni maajabu ila kuna watu wengi tu nikawaida mno , mm apo sioni cha ajabu zaidi ya hiyo nguvu ya dawa.
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 42,436 Reaction score 50,163 Aug 18, 2022 #64 min -me said: Numbu sjajua mkuu Click to expand... Ni mimea inastawi sehemu za baridi kama Njombe na Mufindi, walioko huko wakisoma hili bandiko wanaweza kuweka picha halizi za mmea na zao lake
min -me said: Numbu sjajua mkuu Click to expand... Ni mimea inastawi sehemu za baridi kama Njombe na Mufindi, walioko huko wakisoma hili bandiko wanaweza kuweka picha halizi za mmea na zao lake