Kama utakumbuka vema ni kwamba mwezi March Mama huyuhuyu alipiga marufuku mikutano yote ya siasa mjini Dodoma baada ya kuona M4C iko pale na huku Bunge linaendelea.Uccm unamsumbua huyu mama. Mbona kwenye kampeni za m4c hajasema lolote?
Mkuu wa Mkoa wa Dodma mama Rehema Nchimbi amewaomba waendesha vymbo vya moto vya aina zote mjini Dodma kuwa wakarimu, wapole na wenye utu katika kipindi cha siku 3 za mkutano wa ccm mjini hapo...!
Binafsi nimemwona wa ajabu kwasababu yeye kama Mtumishi wa serikali ni wajibu wake kusisitiza hilo muda wote, siyo kipindi cha Mkutano wa ccm.
Ana maana baada ya mkutano kuisha madereva hao warudie kwenye enzi zao za vurugu utapeli na usumbufu kwa abiria!
Dawa ya hawa wakuu wa mikoa ni kuwafuta kazi kwenye Katiba mpya hawa.
Mungu wangu mwalimu wangu masters ya history mliman huyo.. Ubongo wake ndio umekuwa hivyo

Mwalimu mjinga,uzalisha wanafunzi wajinga.Hii nayo ni vipi?