Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,833
- 6,889
Nime miss kitimoto ya Moshi!! Tulikuwa tunaenda kula Kiboroloni sijui hadi ipo au walihamisha mahakama ya nguruwe?
Kama uko Moshi kwa sasa hebu niambie na pale Majengo kwa Kipanga bado wanachoma nyama za mbuzi?
hahahahahahahaahahahahaahBado upo Buswelu nakumbuka pale kwenye shule ya ibanda nilitakwa kulipishwa hela kisa nilitembea na mtoto wa shule ikanibidi nikimbie na field sikumaliza. Ila watoto ya kanda ya ziwa si maharage ya mbeya ni maini ya ng'ombe
Hahahaha...! Moshi migombani ni kukali balaa, mijumba ya kufuru ipo huko. Natamani nirudi MWIKA.Wewe umelewa mataputapu Moshi inebadilika sana na kwa taarifa yako wachagga December hawaendi mjini bali huko mgombani, nenda huko kama hujaomba hifadhi ya ukimbizi.
Kiruuuuu ngera mudo weeni.Mkuu itakuwa umekunywa ngera Sana mpaka ukashindwa kudadavua mambo
tena ngera ya siku tatuMkuu itakuwa umekunywa ngera Sana mpaka ukashindwa kudadavua mambo
Hahaha tena hiyo ngera watakua wamechanganya na kirobaMkuu itakuwa umekunywa ngera Sana mpaka ukashindwa kudadavua mambo
Hauna adabu, emb iache Moshi....Nimekuja Mo town kwenye msiba wa Mzee Ndesamburo, nimeshangaa na kustaajabu.
Mara ya mwisho kukanyaga Moshi ilikuwa mwaka 1998, almost miaka 20 iliyopita lakini mji huu haujabadilika.
Miaka nenda rudi Mji wa Moshi upo vile vile tena upo kizamani sana. Wachagga mnaniangusha, yaani ile misifa yote ya Kugombea magari mwisho wa mwaka kumbe mnakuja kwenye kamji uchwara kama haka.
Wachagga hebu, amakeni acheni kujisifu haswa mkiwa nje ya Mo town, badilisheni hiki kijiji chenu mnakokaita Mji.
Baada ya Msiba nitafika huko A town kwa Machalii nikaone nini kimejiri, maana hawana tofauti sana na watu wa Mo town.
Hahaha kweli kabisa kama akija hapa marangu atatamani asirudi tena huko kwaoWewe umelewa mataputapu Moshi inebadilika sana na kwa taarifa yako wachagga December hawaendi mjini bali huko mgombani, nenda huko kama hujaomba hifadhi ya ukimbizi.
wilaya ya hai kwa mzee mboweMhhhh. Moshi hakuna mji pale .mji unaokuwa kwa kasi ni Bomang'ombe
Nimekuja Mo town kwenye msiba wa Mzee Ndesamburo, nimeshangaa na kustaajabu.
Mara ya mwisho kukanyaga Moshi ilikuwa mwaka 1998, almost miaka 20 iliyopita lakini mji huu haujabadilika.
Miaka nenda rudi Mji wa Moshi upo vile vile tena upo kizamani sana. Wachagga mnaniangusha, yaani ile misifa yote ya Kugombea magari mwisho wa mwaka kumbe mnakuja kwenye kamji uchwara kama haka.
Wachagga hebu, amakeni acheni kujisifu haswa mkiwa nje ya Mo town, badilisheni hiki kijiji chenu mnakokaita Mji.
Baada ya Msiba nitafika huko A town kwa Machalii nikaone nini kimejiri, maana hawana tofauti sana na watu wa Mo town.
Hahaha kweli maajabu ya duniaIngia huko mndenyi ukaone maajabu ya Dunia...
Ukisikia wachaga wanajenga kwao haimanishi wanajenga Maeneo ya serikali Mangi.. wanajenga kwao as kwao.Nimekuja Mo town kwenye msiba wa Mzee Ndesamburo, nimeshangaa na kustaajabu.