Maajabu ya Mji wa Chato

Maajabu ya Mji wa Chato

666 chata

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
1,710
Reaction score
4,026
Katika pilika za hapa na pale, basi nikafanikiwa kufika chato baada ya muda mrefu toka mara ya mwisho nlivyofika mahala hapa. Yafuatayo nimepata kuyaona kidogo:

Kati kati ya mji huu kuna mataa ya kuongozea magari barabarani, taa hizi ni kituko kidogo maana zinakusubirisha wakati hakuna magari mengine au watu wanaopita, yaan unaweza kujikuta uko tu mwenyewe na unasubiria tu taa zi ruhusu. Naam wale wa mikoa kama morogoro pamoja na umaarufu wa mkoa wake ila mataa kwao ni habari nyingine, hakuna kabisa kwaio hapa wanaweza wasinielewe.

Mitaa yote ya mji huu ina barabara za lami, ni karibu asilimia 90 mkeka tu, kuanzia za kati ya mji mpaka mitaani.

Wakazi wa huku kama nao wanajiona waTanzania namba moja, yaani kiburi kiburi hivi.

Barabara nzuri ila baiskeli zimetawala kweli kweli, anyway nyie wa rorya hapa mnaweza msinielewe au nyie we marinyi barabara mbovu wilaya nzima, kwaio naombeni utulivu wenu hapa.

Hospitali za mji huu ni full air conditions tu, kipupwe safi kabisa, na sijaona vihospitali kama sinza, Sijui temeke au wapi huko bado sanaa, kimiundo mbinu kwa hospital za chato.

Majengo ya serikali ni nadhifu na mazuri sanaa, yanavutia ata kuyatazama tu.

Kuna ulinzi mzuri tu, migambo wamejaa kila mtaa na wanachokera wanajifanya ni matrafic wanakamata hadi magari, sijui mamlaka haya wameyatoa wapi.

Kuna airport karibuni itaanza kutumika, japo ukiwaangalia wananchi tu walio wengi kwa kweli labda nauli zishushwe.

Wakuu tukumbuke kujenga vijijini kwetu ni muhimu sanaa. Ni haya machache tu na ndio nliyoyaona kwaio nisije kupangiwa vya kuona na kusema.
 
Weka video,hata hivyo kama chato ipo Tanzania najivunia kuwa na mji kama huo,huko Morogoro kama hakuna taa za barabarani tatizo ni lao,kuna Tanroads,kuna halmashauri ya manispaa n.k
 
Katika pilika za hapa na pale, basi nikafanikiwa kufika chato baada ya muda mrefu toka mara ya mwisho nlivyofika mahala hapa. Yafuatayo nimepata kuyaona kidogo:

Kati kati ya mji huu kuna mataa ya kuongozea magari barabarani, taa hizi ni kituko kidogo maana zinakusubirisha wakati hakuna magari mengine au watu wanaopita, yaan unaweza kujikuta uko tu mwenyewe na unasubiria tu taa zi ruhusu. Naam wale wa mikoa kama morogoro pamoja na umaarufu wa mkoa wake ila mataa kwao ni habari nyingine, hakuna kabisa kwaio hapa wanaweza wasinielewe.

Mitaa yote ya mji huu ina barabara za lami, ni karibu asilimia 90 mkeka tu, kuanzia za kati ya mji mpaka mitaani.

Wakazi wa huku kama nao wanajiona waTanzania namba moja, yaani kiburi kiburi hivi.

Barabara nzuri ila baiskeli zimetawala kweli kweli, anyway nyie wa rorya hapa mnaweza msinielewe au nyie we marinyi barabara mbovu wilaya nzima, kwaio naombeni utulivu wenu hapa.

Hospitali za mji huu ni full air conditions tu, kipupwe safi kabisa, na sijaona vihospitali kama sinza, Sijui temeke au wapi huko bado sanaa, kimiundo mbinu kwa hospital za chato.

Majengo ya serikali ni nadhifu na mazuri sanaa, yanavutia ata kuyatazama tu.

Kuna ulinzi mzuri tu, migambo wamejaa kila mtaa na wanachokera wanajifanya ni matrafic wanakamata hadi magari, sijui mamlaka haya wameyatoa wapi.

Kuna airport karibuni itaanza kutumika, japo ukiwaangalia wananchi tu walio wengi kwa kweli labda nauli zishushwe.

Wakuu tukumbuke kujenga vijijini kwetu ni muhimu sanaa. Ni haya machache tu na ndio nliyoyaona kwaio nisije kupangiwa vya kuona na kusema.
Umefika Chato, ila hujakaa na kuongea na wananchi.
 
hhahahaha hii habari kweli watu wa moro hawawez kukuelewa!hakuna mataa jaman! full ajali ..mfano hii irnga road,! hehehe kwahyo barabara ni mkeka mkuu!duh kweli wana ifakara na kule 'maliny'i na 'mbingu',kisaki' ngumu kukuelewa !acha wapambane na hali zao! na kweli majitu ya pande hizo wagumu sana kujenga! nimeishi sana Iringa.. nenda iringa vijijini unahesau nyumba za tembe! nenda shy,tabora,mwanza hehehehe full tembe!
kijana wa miaka 21 Iringa amejenga nyumba ya vyumba 3 na bati juu na solar juu! lakini kijana huyo hyo wa 21age wa Mwanza ana wake 2 na watoto 7! na bado anaishi home kwa wazaz!
ukiuliza unaambiwa ni MILA!(linachunga tu ngombe)

SALUTE WAHEHE!
 
Katika pilika za hapa na pale, basi nikafanikiwa kufika chato baada ya muda mrefu toka mara ya mwisho nlivyofika mahala hapa. Yafuatayo nimepata kuyaona kidogo:

Kati kati ya mji huu kuna mataa ya kuongozea magari barabarani, taa hizi ni kituko kidogo maana zinakusubirisha wakati hakuna magari mengine au watu wanaopita, yaan unaweza kujikuta uko tu mwenyewe na unasubiria tu taa zi ruhusu. Naam wale wa mikoa kama morogoro pamoja na umaarufu wa mkoa wake ila mataa kwao ni habari nyingine, hakuna kabisa kwaio hapa wanaweza wasinielewe.

Mitaa yote ya mji huu ina barabara za lami, ni karibu asilimia 90 mkeka tu, kuanzia za kati ya mji mpaka mitaani.

Wakazi wa huku kama nao wanajiona waTanzania namba moja, yaani kiburi kiburi hivi.

Barabara nzuri ila baiskeli zimetawala kweli kweli, anyway nyie wa rorya hapa mnaweza msinielewe au nyie we marinyi barabara mbovu wilaya nzima, kwaio naombeni utulivu wenu hapa.

Hospitali za mji huu ni full air conditions tu, kipupwe safi kabisa, na sijaona vihospitali kama sinza, Sijui temeke au wapi huko bado sanaa, kimiundo mbinu kwa hospital za chato.

Majengo ya serikali ni nadhifu na mazuri sanaa, yanavutia ata kuyatazama tu.

Kuna ulinzi mzuri tu, migambo wamejaa kila mtaa na wanachokera wanajifanya ni matrafic wanakamata hadi magari, sijui mamlaka haya wameyatoa wapi.

Kuna airport karibuni itaanza kutumika, japo ukiwaangalia wananchi tu walio wengi kwa kweli labda nauli zishushwe.

Wakuu tukumbuke kujenga vijijini kwetu ni muhimu sanaa. Ni haya machache tu na ndio nliyoyaona kwaio nisije kupangiwa vya kuona na kusema.
Wekeni picha za mataa ya chato na uthibitisho
 
Hata mimi nimefika Chato. Kilichonifurahisha ni chakula kizuri pale J Motel sijui hotel sikumbuki vizuri...na ulinzi pia. Kilichonishangaza ni mataa ya kuongozea magari wakati magari yenyewe hamna...na cha ajabu hadi punda wakifika pale wanafauata taa.
Kweli tukumbuke kujenga vijiji vyetu. Raha zisiwe mjini tu bali hata tukirudi makwetu kuwe vizuri pia.
Asubuhi njema.
 
BILA KUWEKA PICHA NA KA VIDEO HABARI HAITANOGA MKUU
upload_2017-8-12_10-11-27.png
upload_2017-8-12_10-11-27.png
 
Uncle wake dotto hasemwi vibaya huku, ni kumpa misifa tu hata akivurunda. Kwa sisi tuliozoea kumkosoa tukitembelea huku tunapata shida kwenye hilo, inabidi tujitoe ufahamu kidogo na kuwa kama nyumbu

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
 
Hata mimi nimefika Chato. Kilichonifurahisha ni chakula kizuri pale J Motel sijui hotel sikumbuki vizuri...na ulinzi pia. Kilichonishangaza ni mataa ya kuongozea magari wakati magari yenyewe hamna...na cha ajabu hadi punda wakifika pale wanafauata taa.
Kweli tukumbuke kujenga vijiji vyetu. Raha zisiwe mjini tu bali hata tukirudi makwetu kuwe vizuri pia.
Asubuhi njema.
MKUU YAN PUNDA WA CHATO WANAJUA KUTUMIA MATAA YA KUONGOZEA MAGARI????
 
Back
Top Bottom