Maajabu ya mdudu Mende

chaUkucha

JF-Expert Member
May 28, 2012
3,382
1,208
1) Mende anaweza kuishi kwa wiki nzima bila ya kuwa na kichwa

2) Mende anaweza akazuia pumzi zake kwa dakika 40 bila ya kufa

3) Mende anaweza kutembea zaidi ya maili 3 ndani ya saa moja

4) Ina aminika kuwa Mende alikuwepo tokea miaka milion 280 iliyopita

5) Kuna zaidi ya aina 4,000 za mende duniani

6) Mende anaweza kuishi mwezi 1 bila kula ila hawezi kuishi zaidi ya wiki bila kunywa maji

7) baadhi ya mende wanaweza kufanya mapenzi mara moja tu, lakini akawa na mimba maisha yake yote

8) Mende wanapenda sana bia

9) vipi kuhusu kifo cha mende?
 
Ndiye mdudu pekee ambaye huhisiwa pindi unywapo maji kitu kikakugusa mdomon na kuhis ni yeye
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom