Maajabu ya mapacha walioungana

Ahahaha jaman mashine za kusaga kahawa no moja au mbir? Alafu je hapo itakuwaje wakianza kukalia dude?uwiii style je zitakuwaje au inabid wapigwe mbuzi kagoma kwenda je itakuwaje
 
Aisee wanahaki na uamuzi wa kujihusisha na ndoa ila kanisani ktk ndoa huyo kijana atafunga na nani.
Itakuwaje iwapo mmoja atamchukia huyo kijana baadae ba kumpenda mwingine. Hawawezi kuwa ktk conflict kweli ? Nawaza tu Sijui hisia zao zimekuwa connected vip
?
Mlezi wao atafute mtu wa kuwapa nasaa nzuri za mahusiano zisije katiza ndoto zao. Watu kama hao wakitendwa wanavunjika moyo sana.
 
If it happens will it be called 3some?
 
If it happens will it be called 3some?
 
umezungumza la msingi sana!
hao ni watu wawili tofauti!
umewaza ndoa
but mi nimeenda mbali zaidi!
ah MUNGU MKALI JAMANI!
ni wazi hawa wana majaaliwa yao ya uhai na kifo!(hata kuzaliwa hawakuzaliwa wote vuuup,lazima yupo aliyeanza!kutoka kichwa so hata uhai wao hautakoma paaap wote!
mmoja wao akifika siku yake itakuwaje kwa mwingine?
 
Du na mi nimewaza hapo keenyr kufa inakuwaje?
 
Allah Akbar.
Mimi huwa najiuliza tu, akifa mmoja itakuwaje?
Mwenzie pia atakufa au itakuwaje?

Naamini watoto walioungana kama hawa wanazaliwa wengi sana, ila kwa imani potofu zilizotujaa wengi huuwawa wakiwa angali wachanga.
Hilo swali nilishahoji. Sikupata jibu. Akifa mmoja itakuwaje
 
Sasa ikitokea mmoja amefeli mwengine amefaulu itakuwaje ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…