Maajabu ya Magomeni Mapipa

Maajabu ya Magomeni Mapipa

Ndio nawachukia majambazi wa kichaga tatiZo liko wapi?

utachukia sana lakini huwezi kuwafikia hata chembe kuna gap kubwa sana hayo yako ni maneno ya chuki there is great gap with other ethnic groups you need to accept that fact
 
..... Haya ni maajabu ambayo wengi wetu hatujayaona ... kama umekuwepo maeneo ya magomeni mapipa nyumba zoooote za za zamani zilizojengwa miaka ya '60 na '70 foundation ya nyumba hizo ni ndefu sana.... sasa fikiria Magomeni mapipa wazee wa kizaramo waliona athari za maji na mafuriko ndio maana nyumba nyingi zimejengwa kwa tahadhari kubwa sana na kuwa na misingi iliyonyanyuka.... nilipomuuliza mmoja wa wazee wa Kizaramo alinijibu kwamba wao maeneo mengi ya Dar walikuwa wanaona kuwa ni mashamba ya kulima mpunga na kuvua samaki lakini hao waliotoka huko walikotoka wakalazimisha kujenga maeneo ambayo hayakustahili kujengwa nyumba bali ni mashamba ya mpunga na sehemu ya mabwawa ya kuvulia samaki aina ya kamambare leo huko kote ni majumba... mafuriko kede kede.. haya ndio maajabu ya magomeni mapipa na hutasikia mafuriko

vipi yale maajabu ya pale posta mama ntilie kuuza vitumbua asubuhi?wamamantillie kubeba vyakula kwenye ndoo kutoka mbagala na maeneo mengine kwenda kukiuza posta?haya maajabu bado yapo?
 
ni kweli hiz nyumba ziko imara na ni za zamani sana. pia hakuna mafuriko wala maji kutuama ovyo labda kipindi hik cha ujenzi wa straabarg
 
Back
Top Bottom