....Maajabu ya kutisha Tanzania LIVE !!!

....Maajabu ya kutisha Tanzania LIVE !!!

Earthmover

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2012
Posts
25,975
Reaction score
25,288
....

Tazama haya maajabu !!!


attachment.php
 
Hivi hizi nguo za kijana zilikuwa zinamfanyia nani ibada?
 
wakati unaomba kaz makono nyuma,napata kazi makono bele...kanjubai
 
Aisee nimecheka mpaka basi... hivi sio photoshop hiyo, kama ni kweli basi ccm itakuwa na uchawi wa hali ya juu, maana msomi ikijiunga nayo anakuwa zuzu
 
fredmlay kweli kabisa wasomi karibu wengi CCM wamekuwa mazuzu
 
mmmmh! hivi vyama vya siasa balaaa...! mpaka uchawi vitatupeleka motoni,me naona wanafurum tuanzishe chama chetu CCJF Chama Cha Jamii Forum hatuta omba msaada wazungu kama CCM,CHADEMA,CUF na vingine maana wazungu wanaleta ukoloni mamboleo
 
Yaani Hata huyo Mzee Hana Aibu kupiga magoti mbele ya huyo sholi...
 
Mbaya sana, waajiri wao ndo wamegeuka watwana!
 
Back
Top Bottom