Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,249
JE UNAFAHAMU? Konokono hana mfupa wowote kwenye mwili wake na pia konokono ni aina ya "Hermaphrodites",
Kwa maana wanamiliki jinsia mbili(kiume na kike). Kwenye kujamiiana wanaviziana, atakaeruhusu kupandwa ndiyo atataga mayai.Huyo ndio konokono::
lakin hebu ffikiria: binadamu tungekua "Hermaphrodites" na hizi akili zetu ingekuwaje? Tungetembeleana kweli? Mkeo ukimzingua anakuvizia usiku umelala anakupa mimba!
Nchini Tanzania wapenzi wa kusingwa maarufu kama “massage”wamezoea kufanyiwa huduma hiyo na binadamu wenye mikono laini,lakini hali ni tofauti huko nchini Indonesia ambapo hivi sasa huduma hiyo imekuwa ikitolewa na nyoka na konokono.
Facial ya konokono
Kwa wengi wetu konokono ni mdudu mpole zaidi kuliko wadudu wengine wanaopatikana majanini,lakini nchini Japan wataaalamu wamegundua kuwa lami (uteute) anaotoa mdudu huyu ni tiba nzuri kwa ngozi ya binadamu, baada ya kutumika kwa miezi kadhaa nchini Japan sasa tiba hiyo imeanza kupendwa barani Ulaya,kama watu wanavyomiminika katika saluni moja iliyopo East Midland nchini Uingereza.
Matibabu hayo yanahusisha konokono kuanzia watatu ambao huwekwa juu ya uso wa binadamu na wao huanza kuzunguka maeneo mbalimbali ya uso na hata mgongo huo isipokuwa maeneo yam domo,macho na pua.
Kwa mujibu wa mmiliki wa Simply Divene Saloon iliyopo Corby katika mji wa Northamptonshire nchini Uingereza,Diane Gower matokeo ya tiba hiyo inayogharimu kiasi cha dola 50 takribani kilo moja ya madafu (Sh 100,000.) huonekana papohapo na kwamba wadudu hao hutoa kamasi zenye protin muhimu kwa ngozi ya binadamu.
Wakati huo Tanzania, nyoka akiendelea kuwa adui mkubwa wa banadamu na konokono kuonekana mdudu anaetia kinyaa kwa baadhi ya watu,nchini za China na Japan wanyama hawa wamekuwa wakitumika kama mboga na wakati mwingine wamekuwa ni rafiki wa binadamu kwani wengi wao hufugwa na binadamu. Nimewala sana Abuja kule wanatembezwa kwenye mabeseni wakipikwa huwez watambua mara 1 km ni konokono.
Watafiti Wafaransa wamebaini kwamba unga wa konkono ni tiba muhimu sana kwa vidonda vya tumbo na mg 10 tu huweza kupunguza zaidi ya 42% ya vidonda vya tumbo na pia hutibu magonjwa sugu ya kurithi na hata kutengenezea manukato.
Nchini Papua New Guinea, Konokono kwa miongo kadhaa wametumika kama sarafu ya nchi hiyo
Read more: 9 Amazing Facts About Snails
MALIASILI ZETU: JE TUNAJIFUNZA NINI KUTOKA KWA WENZETU? NYOKA NA KONOKONO WAMEKUA TIBA MBADALA KWA WATU WENGI NCHI ZA ULAYA NA ASIA