Hata mtu Aliefia au kudondokea majini huliwa na samaki! Sasa na samaki wawe haramu?
Hata mtu Aliefia au kudondokea majini huliwa na samaki! Sasa tusemaje kuhusu samaki au titangaze (kama wasemavyo wajukuu zetu wasambaa) kuwa samaki wawe haramu?
Hata mtu Aliefia au kudondokea majini huliwa na samaki! Sasa tusemaje kuhusu samaki au titangaze (kama wasemavyo wajukuu zetu wasambaa) kuwa samaki wawe haramu?
Fishziller@Sikonge.
Haani hiyo documentary imenifanya nisile fish fillets tena. Nataka kumuona thamaki kichwa chake aisee.
hasa maeneo ya kidariHuyu kitimoto akichinjwa atakua mtamu sana.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums