T tata mura JF-Expert Member Joined Sep 27, 2012 Posts 275 Reaction score 49 Jan 12, 2013 #1 Kweye Kombe la Mapinduzi Zanzibar mwanadada akatisha uwanjani match ikiwa inaendelea. Nimeshanga kusikia Polisi kusema kuwa alikuwa mgonjwa wa akili na ametoroka Hospitalini, swali ameingiaje uwanjani bila kulipa kiingilio ?
Kweye Kombe la Mapinduzi Zanzibar mwanadada akatisha uwanjani match ikiwa inaendelea. Nimeshanga kusikia Polisi kusema kuwa alikuwa mgonjwa wa akili na ametoroka Hospitalini, swali ameingiaje uwanjani bila kulipa kiingilio ?
J joely JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 1,055 Reaction score 576 Jan 12, 2013 #2 alikua amevaaje? kiimani au