Mommadou Keita
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 230
- 238
april 4 ni friday
june 6 ni friday
august 8 ni friday
october 10 ni friday
december 12 ni friday
kama umekosa kalenda ya mwaka huu usipate tabu chukua kalenda ya mwaka 1997, kwa kiasi kikubwa zinarandana.... Think twice.
Hapa hakuna maajabu kwani,mwaka juzi zote zilikwa ni juma5 na mwaka jana zote zilikuwa Alhamisi, na mwaka huu zote Ijumaa na mwaka ujao zote zitakuwa Jumamosi. Je wajua kuwa Noel na mwaka mpya huwa zinafanana siku? mfano, mwaka jana Noel ilikuwa jumanne na mwaka huu juma5, na mwaka huu itakuwa alhamisi. hata mwaka mpya hivyo hivyo.
The Great Msafiri !! Swala za compulsory/obligatory ( kuwajibika ) 5 kila siku kwa 365 day a year!! Kuswali hatufuati kalenda tunafuuata nyakati za siku/usiku, Yaani :- 1. Asubuhi(alfajiri) 2. Adhuhuri(Noon) 3.Alasiri 4.Maghreb(dusk) 5. Al-Ishaa (jioni/usiku/evening).Na FRIDAY ni siku ya swala.........hebu tupatie na kalenda ya Kiislamu maana hii ulioleta ni Georgian
The Great Msafiri !! Swala za compulsory/obligatory ( kuwajibika ) 5 kila siku kwa 365 day a year!! Kuswali hatufuati kalenda tunafuuata nyakati za siku/usiku, Yaani :- 1. Asubuhi(alfajiri) 2. Adhuhuri(Noon) 3.Alasiri 4.Maghreb(dusk) 5. Al-Ishaa (jioni/usiku/evening).
Kwa kalenda ya KiiSlamu tunaanza na Mwezi wa 1 = Muharam. Mwezi wa 2 = Safar, wa 3 = Rabei Awali, wa 4 = Rabei Thani, wa 5 = Jama Awali, wa 6 = Jamad Thani, wa 7 = Rajab, wa 8 = Shaaban, wa 9 = Ramadhan, wa 10 = Shawal, wa 11 = DhulQeda, wa 12 = Dhul-Hajj......!
Na mwaka tuliyonao leo ni 1435h (hijra) na tarehe ya leo ni:- 07-03-1435h.
Okay kiibada mwezi mtukufu ni wa tisa huwaga Mfungo wa Ramadhani... na Mwezi mtukufu wa kumi nambili huwaga THE GREAT HAJJ (pilgrimage) Hija kukusanyika Makkah-al-Mukarama .....
Best wishies and Good Luck dia.
april 4 ni friday
june 6 ni friday
august 8 ni friday
october 10 ni friday
december 12 ni friday
kama umekosa kalenda ya mwaka huu usipate tabu chukua kalenda ya mwaka 1997, kwa kiasi kikubwa zinarandana.... Think twice.
The Great Msafiri !! Swala za compulsory/obligatory ( kuwajibika ) 5 kila siku kwa 365 day a year!! Kuswali hatufuati kalenda tunafuuata nyakati za siku/usiku, Yaani :- 1. Asubuhi(alfajiri) 2. Adhuhuri(Noon) 3.Alasiri 4.Maghreb(dusk) 5. Al-Ishaa (jioni/usiku/evening).
Kwa kalenda ya KiiSlamu tunaanza na Mwezi wa 1 = Muharam. Mwezi wa 2 = Safar, wa 3 = Rabei Awali, wa 4 = Rabei Thani, wa 5 = Jama Awali, wa 6 = Jamad Thani, wa 7 = Rajab, wa 8 = Shaaban, wa 9 = Ramadhan, wa 10 = Shawal, wa 11 = DhulQeda, wa 12 = Dhul-Hajj......!
Na mwaka tuliyonao leo ni 1435h (hijra) na tarehe ya leo ni:- 07-03-1435h.
Okay kiibada mwezi mtukufu ni wa tisa huwaga Mfungo wa Ramadhani... na Mwezi mtukufu wa kumi nambili huwaga THE GREAT HAJJ (pilgrimage) Hija kukusanyika Makkah-al-Mukarama .....
Best wishies and Good Luck dia.
Mkuu wakati naandika thread hii akili yangu sikuielekeza kwenye dini hivyo sikuweza kutafuta hiyo kalenda.Na FRIDAY ni siku ya swala.........hebu tupatie na kalenda ya Kiislamu maana hii ulioleta ni Georgian
Mkuu wakati naandika thread hii akili yangu sikuielekeza kwenye dini hivyo sikuweza kutafuta hiyo kalenda.
TAREHE 4, 4, 2014... Friday, tarahe 6, 6, 2014 Ijumaa, taraehe 8,8 2014, ijumaaa, tarehe 10,10, 2014 ijumaaa, tarehe 12,12,2014 ijumaaa... ulishalifikiria hilo mkuu.Maajabu ni yapi sasa?
We mjeuri tu mkuu.Hakuna maajabu hapa.
Sidhani.. labda mwaka jana sikufikiria hili na mwakani bado sijafika siwezi kusema lolote.
AJABU KWAKE NI KUWA ijumaa
The Great Msafiri; No mention !! Elimu yako ni kubwa kuliko yangu nami naAmini unajuwa zaidi ya mwanajf yeyote hapa!!!! Methali hii waijuaaa? "Je, tunaweza kumfundisha mchina kunywa chai ???"Asante Hajjat..........sikuyajuwa haya! Je kila mwezi una siku ngapi ?
Na FRIDAY ni siku ya swala.........hebu tupatie na kalenda ya Kiislamu maana hii ulioleta ni Georgian