maajabu ya JK na nchi ya Tanzania

maajabu ya JK na nchi ya Tanzania

acha ujinga wewe. mimi naona hata hawa waliopo wangepungua ili tuendelee kubana matumizi. hebu tuambie tofauti uliyonote kwa kutokuwepo hao unaowataka. au na wewe unahisi unaweza bahatika.

katika hali ya kuonyesha kuwa rais wetu Jakaya Kikwete aamini kuwa mawaziri wake wanne walingolewa na bunge na mmoja kufariki dunia ,nchi ya Tanzania inaelekea kuvunja rekodi dunia kwa kukaa kipindi kirefu bila kuwa na EXUCUTIVES isiyokamilika na maanisha baraza la mawaziri,maana tunaelekea kuumaliza mwezi mmoja na wiki kama mbili bila kuwana na mawaziri wakati huo huo JK na washauri wake sijui wanachofanya huko magogoni ni kheri tumshinikize rais atangaze baraza la mawaziriau kama hakuna mtu anayemuamini avunje bunge tuludi kwenye uchaguzi mkuu only in tanzania
 
Back
Top Bottom