Maajabu ya jiji la Kampala

Una akili ndogo sana...mbona hivi ulivyoandika ni vitu vya kawaida sana hata mtoto wa darasa la sita b anaweza kuviona tu waziwazi. Nimekuja spidi nikajua kuna kitu cha maana kipya umegundua. Rubbish.
 
Umenikumbusha mbali MNO!!
Kuna bar mojo ilikua mjini kati ikiitwa SEX PUB palikua ni fire 🔥. Kampala murunjinyo ssebo!!
Nitarudi.
KAZI ni kipimo cha UTU
Sio Sex ilikuwa inaitwa SAX PUB iko luwum street Barabara pembeni kulikuwa na baa nyingine inaitwa Calif wakenya walikuwa wanajaa hatari.
 
Sio Sex ilikuwa inaitwa SAX PUB iko luwum street Barabara pembeni kulikuwa na baa nyingine inaitwa Calif wakenya walikuwa wanajaa hatari.
Itakuwa ilikuwa inamilikiwa na Mkenya, nakumbuka kulikuwaga label moja ya Kenya naitwa Calif records Juacali kaitaja sana kwenya ngoma zake
 
Waganda wana miili aisee! Kuna chakula fulani sijui kinaitwaje vile, mboga ni karanga zilizosagwa na kugeuzwa kuwa mchuzi!
Sasa unataka kuwafananisha na Wazaramo wanaoshindia chai na maandazi mawili ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…