Maajabu Ya Google+.

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2009
Posts
16,202
Reaction score
8,787
Wadau,

Leo imekuwa siku ya pekee sana kwangu, Sio kwasababu ni mwaka mpya, bali ni kwamba mnamo mwanzo mwezi wa December 2013 simu yangu Samsung GT S6802 ilitumbukia kwenye mtaro na kupotea jumla.

Simu hiyo ilikuwa na kiasi kikubwa cha kumbukumbu pamoja na picha na video kadha. Nikajikatia tamaa kuwa basi tena hasara roho, nikanunua simu ingine Samsung Mega.

Kilichonishangaza leo hii nikiwa sina hili wala lile nimepata notificatin kwenye simu yangu mpya toka google+, nilipofungua nakuta picha zote zilizokuwa kwenye simu ile iliyozama na kupotea.

Kwa ufupi Nimefurahi sana.

Mnaojua tuelezeeni zaidi functioning ya hii application ya Google+.
 
Google wanaservice flan, ambayo ukipiga pic, inaupload automatically kwenye albums zako kwenye google, niliexperience hii kitu na picasa web albums
 

Google+ is Google's latest attempt ya one account to rule them all. I've been a user since days ambazo ilikuwa you get it by invite only. Originally it came as a social network but with time imekuwa ni tool Google use to integrate all their Google services which can be seen as a major privacy invasion au a very good thing for me naona ni kitu chema.

Basically when you sign in to your android phone kwa mara ya kwanza, google sets it self to sync kila kitu, contacts, photos, people details, music etc. Most people huwa wanazima photo syncing(previously Picasaweb, which is now Google+ photo backup) off sababu inakula data as it uploads kila photo you take to your Picasa album, so wherever you log in na your google account they will be there waiting for you...

Personally I think this is like the best thing to ever come from Google, the integration with Google Drive, Youtube, Music, Google play and all other services is of great advantage than disadvantage.

It is this seamless integration that makes switching between phones a walk in the park because you don't have to worry about kuhamisha data and all that.
 
Google wanaservice flan, ambayo ukipiga pic, inaupload automatically kwenye albums zako kwenye google, niliexperience hii kitu na picasa web albums
Asante sn mjomba.

Nilipata kuambiwa kwamba unaweza pia kusevu namba za phonebook kwenye google web, kiasi ukipotelewa na handset unaweza kuzirecover zote mara baada ya kupata handset ingine.

Sijui kama ni sahihi na hilo.
 
[h=1]Top Ten Google+ Features[/h]Google+ is a feature-rich social networking experience. From instant, real-time updates to sharing apost from almost any Google application, the features in the following list can make your Google+ experience all the more special:

  • Circles: You use Circles to organize the people you follow (as well as who follows you) on Google+. And you can use Circles to organize your stream. Just click a Circle in the left column to determine which circle of friends sees your posts.
  • Real-time stream: InGoogle+, the stream flows as new updates are posted. New updates automatically show up at the top of your stream after you log in, and new comments appear automatically as people comment on the posts.
    You'll quickly realize that you spend much less time refreshing the page and much more time immersed in the info coming across your stream.
    Use Circles to manage your stream: You can limit incoming info by clicking specific Circles on the left of the screen. You can open the floodgates to see updates from people that have you in a Circle but that you don't have in one of yours by clicking the Incoming button.
  • Hangouts: Think of hangouts as group video chat. You can chat, via video, with up to ten people at a time. You can choose not to be seen or heard, and you can select YouTube videos to share with the others in your hangout.
    If you want to chat with someone while others are talking, just use the chat window, or you can have a texting chat with everyone in the hangout.
  • The sand bar: This gray bar appears at the top of almost every Google product after you log in. Pay attention to two features on the left of the bar:
    • The red notifications icon tells you how many new things have happened in your feed since you last checked Google+.
    • The Share... button allows you to share an update to Google+ right from the sand bar.
    The advantage to the Sand Bar is that you can use it across the entire Google experience. If you're in Gmail, you can check your updates and post to Google+ without ever leaving Gmail. If you're in Google Reader and want to share a post, you can do it right then and there!
  • Photo uploads: You can post photos, which integrate with Google's Picasaweb albums, pretty easily in Google+. To share a photo, just click on the share box at the top of Google+ and click the little camera icon. You can upload photos to Picasaweb and share them straight to Google+.
  • All the photos in Picasaweb you set as public will stay that way and be visible to all your Google+ Circles once you enable Google+.
  • Sharing: Clicking the Share link below the post you want to share posts it to your stream for all your chosen Circles to see.
  • Tagging: To tag an individual, just type + or @, followed by the person's name. The person will be notified that you tagged them and linked to your post.
  • Your profile: Click the little profile icon at the top of Google+ (or just click your name) to go to your Google+ profile. Click Edit Profile to change your profile settings, determine your privacy settings, and decide what tabs appear to which of your Circles.
    If the background of a field changes color when you mouse over it, you can click on the field to edit it.
  • Privacy: The Google+ privacy feature is centered around Circles and your ability to choose which Circles can view which information about you. Go through your privacy settings to understand what people are seeing from your profile and who's seeing it.
  • Data liberation: You can download data from Google+ just like you can on Facebook. Log into Google+, click the little gear icon in the upper-right corner in the sand bar, and select Google+ Settings. On the left is a Data Liberation link. Click that and decide what information you want to backup from Google+. Anything you put into Google+ you can also take out freely.
 
Asante sn mjomba.

Nilipata kuambiwa kwamba unaweza pia kusevu namba za phonebook kwenye web, kiasi ukipotelewa na handset unaweza kuzirecover zote mara baada ya kurupata handset ingine.

Sijui kama ni sahihi na hilo.

Upo sahihi, nenda contacts.google.com utakuta contacts zako zote kama contact syncing is on.
 
Duuuh mijitu vichwa humu!!!!!!!! Aminia jamii forum
 
Asante sn mjomba.

Nilipata kuambiwa kwamba unaweza pia kusevu namba za phonebook kwenye google web, kiasi ukipotelewa na handset unaweza kuzirecover zote mara baada ya kupata handset ingine.

Sijui kama ni sahihi na hilo.
Yeah hyo pia ipo, hata mm mwenyewe ni contacts wangu google, ninapopata device mpya, nikiweka tu email yangu, wote wanazama ndan
 
In short google wako vizuri saaana, situmii simcard kusevu contacts kwahio hata chip ikibadilika taarifa ziko pale pale
 
Thanks mkuu ni kwa Android os tu?

Hapana, google have done a good job in making almost all applications available for iOS as well, almost kila kitu you can sync on android can be done in iOS as well.

Some services are available only on select platforms, mostly Android and iOS. And some are supported through unofficial a.k.a third party applications on other platforms

But as for contacts and calendar, syncing is available in all platforms, you name it, any platform(Mobile, Desktop etc) you can sync with google contacts and calendar.
 
google is bad news.. PakaJimmy FYI you can also store ur files ie photos,mp3 etc frm ur mobile phone to google via an app called google drive.plz downdowload google drive frm ur android's apps store.
 
Last edited by a moderator:
Asante sn mjomba.

Nilipata kuambiwa kwamba unaweza pia kusevu namba za phonebook kwenye google web, kiasi ukipotelewa na handset unaweza kuzirecover zote mara baada ya kupata handset ingine.

Sijui kama ni sahihi na hilo.

Hio ni kweli kabisa, G+ huwa ina recover hayo majina na namba.
Mie nilisahau ile SWIPE PATTERN kwenye Samsung Galaxy, simu ikagoma kufunguka. Ikanibidi ku log in kwa gmail ndipo ikafunguka. Nimeupenda mfumo huo wa synchronization, ingawa downside yake ni kuwa, ukipoteza simu ambayo hujaweka password then taarifa zako ziko hatarini sana kusomwa na mwingine.
 
Embu ngoja na mimi nii turn on hii sevisi...
 

Hata ukipoteza you can remotely locate it, lock it, erase it/wipe everything, ring it with android device manager from the web. It uses your google account to find your phone. Unless someone was too fast to remove your account.
 
Natumia BBerry and I want to shift, What should I do kuhamisha Contacts zangu kutoka kwenye BB kwenda kwenye Android yangu (S Galaxy Note 3)!?
 
Asante sn mjomba.

Nilipata kuambiwa kwamba unaweza pia kusevu namba za phonebook kwenye google web, kiasi ukipotelewa na handset unaweza kuzirecover zote mara baada ya kupata handset ingine.

Sijui kama ni sahihi na hilo.

kaka sijajua kwa upande wa android ila kwa nokia lumia hiyo kitu ipo. Nilikuwa natumia lumia 620 ikapotea, niliumia sana kwasababu ilikuwa na vitu vingi sana muhimu lakini nilivyonunua Nokia Lumia nyingine nikaingiza ile mail ya live.com. kila kitu kikarudi, kuanzia contacts, sms, picha, videos.

na kuna mdada flan nilimsaidia kuweka sawa HTC yakke, kwa bahati mbaya niliweka email yangu ya gmail kwasababu yeye hakuwa na hyo mail, cha ajabu baadhi ya picha, video, vikawa vinakuja kwenye simu yangu. nikashangaa sana. nkawa nagombana nae kwanini ananitumia vitu vya ajabu. ila baada ya mwezi ndo nkaja kugundua nini kilifanyika.

hongera kwa kupata vitu vyako
 
google is bad news.. PakaJimmy FYI you can also store ur files ie photos,mp3 etc frm ur mobile phone to google via an app called google drive.plz downdowload google drive frm ur android's apps store.

.
nisicho ipenda google Drive ni ktk photo storage...
.
nili hifadhi picha zangu zilizokuwa na 3MB kila moja.. Kuja kuangalia nakuta
.
zina KB 28/30/38 Hv kiasi cha kwamba ningeweka 4shared ningekuta zipo kama zilivyokuwa ..
 
Last edited by a moderator:
Natumia BBerry and I want to shift, What should I do kuhamisha Contacts zangu kutoka kwenye BB kwenda kwenye Android yangu (S Galaxy Note 3)!?
Kuna options 2 hapo...kama unatumia gmail account on ur BB hizo contacts zako zitakua synchronized automatically so utakapoweka hiyo email adress kwenye note 3 contacts zore Zitaletwa on note 3...
2nd option ni kupitia blackberry protect website...nimeona juzi kati hapa wameongeza option ya kutuma stored texts or numbers to non blackberry device...hope unafahamu what is blackberry protect
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…