Maajabu ya dunia

Emanuel Makofia

JF-Expert Member
Jan 5, 2010
3,832
630
maajabu ya dunia tafakari na w.end njema
 

Attachments

  • s.bmp
    550.8 KB · Views: 1,735
  • 1.bmp
    549.4 KB · Views: 930
  • 2.bmp
    549.4 KB · Views: 757
  • 4.bmp
    311.8 KB · Views: 755
  • 3.bmp
    575.7 KB · Views: 706
jamaani ni maajabu kweli kuna sehemu oman pia kuna jabali lina kama mchongo wa mtoto na jengine mti vipo vitu kama hivyo...japo vya humu vimezidi,,,
 
Wale wakazi wa Kilimanjaro pia naamini wanajua mji unaitwa kifaru, upo baada ya kutoka Mwanga kama unaelekea Himo. Hiyo sehemu iliitwa hilo jina kwa sababu kuna mlima karibu na huo mji ambao una shape kama ya kifaru. So hata hapa Tz tuna maajabu kama hayo mengi tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom