Maajabu ya dunia yatokea tz.

Maajabu ya dunia yatokea tz.

Mkubwa Jalala

Senior Member
Joined
Mar 21, 2012
Posts
112
Reaction score
23
Kama wengi walio faulu darasa la saba hawajui kusoma wala kuandika
JE WALIOFELI WAPOJE?
 
Teh teh teh hawajui hata kwamba kikwete ndo rais wao.
Pia hawajui hata jinsi zao.
 
hawaui hata kama wapo duniani au hawajazaliwa
 
Watakua hawajui maandishi wala herufi, pia watakuwa hawajua kama wao ni jinsia gani
 
watt.jpg

ndio mnataka wakikua wafaulu awa
 
Back
Top Bottom