Maajabu ya chura kujipaka poda! Jamani!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maajabu ya chura kujipaka poda! Jamani!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Expedito Mduda, Nov 19, 2010.

 1. Expedito Mduda

  Expedito Mduda JF-Expert Member

  #1
  Nov 19, 2010
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 368
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Haki ya Mungu naapa, Tanzania yetu imekwisha.
  Hivi kweli UDOM wamefikia hapo walipofika? Naomba kuwauliza, hivi mliwahi toa tamko lolote kuhusiana na ufisadi ambao umekuwa ukifanyika serikalini? Hivi mmetoa tamko lolote baada ya kuzuiwa kupiga kura?
  Haki ya Mungu, kama kweli hilo tamko mlilotoa ndivyo lilivyo, na mmelitoa nyie, basi mjihesabu kuwa hamjaelimika kwa chochote.
  mimi nilitegemea kuwa kama mna uwezo wa kutoa matamko basi mngeanza na kutoa matamko yanayohusiana na uchaguzi, ufisadi, udini, n.k. Vitu ambavyo ni vya msingi.
  Kitendo kilichofanyika jana kwa taarifa yenu ni kitendo cha kishujaa na kinatakiwa kupongezwa na wasomi wote!
  In fact, it seems Tanzanian education now is designed to fabricate people who can't even reason rationally! Tanzania is now being privatized to foreigners and those whom we expected to lead the fight against that have been given a puzzling dose and now they can't even discover that their country needs to be liberated from those dirt hands!
  HEBU kama mmepewa chochote, jueni elimu yenu haiwasaidii hata kidogo.
   
Loading...