Maajabu ya CDF Mkunda na jeshi letu linalodhalilika.

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
8,551
Reaction score
20,346
GT
CDF... Kutuma jeshi kwenye mission dhaifu ni kulidhalilisha jeshi na kuonesha mapungufu ya sekta ya ulinzi nchini

Kutuma jeshi kwenye kuzuia maandamano na wanaandamanaji wenye mawe ni udhaifu

Kutuma jeshi kwa lengo la kutisha waandamanaji ambao ni vijana wasio na siraha ya moto ni udhaifu

Kutoa oder ya curfew kwa vijana wasio na siraha za moto na kuuwa watotot wadogo ni udhaifu

Kutuma jeshi kupiga doria kama migambo au sungusungu ni udhaifu lile gwanda linatafutwa kwa jasho na damu pale RTS kihangaiko msatani na kule monduli hivyo sio nguo ya kuzoea kuonekana kwa wananchi na kama ikionekana inabidi waulizane kuna nini au kuna mission nzito.

Kuona sare za jeshi barabarani bila kutoa taarifa zozote kama kuna kitisho cha usalama wa taifa kwa wananchi kuwa na tahadhari ni udhaifu

Ngivu mnazotumia kudili na matokea mngetumia kudili na sababu mpaka nchi ikafikia hapa ndo jambo kuu na imara kuliko kudili na matokea ya maradhi

Kutuma jeshi ili kuuwa, kuteka na kuzuia watu kusema kupotea kwa watu ni udhaifu it means nyinyi ndo watekaji.
NB:
Watanganyika usikubali kuamini mtu yeyote anayesema yeye polisi Wala usikubali kuamini kitambulisho chake.
Hivyo vitambulisho vinatengenezwa hata pale tandika .wakija kukuchukua ombamsaada kwa majirani namsiogope kesi ya kupiga askari kujitetea ni muhimu sana.maana wengi wanachukuriwa na vituoni wanasema hawausiki na hawajui.
Mguu Washington ,mguu WA roho.

Jeshi limetumwa kwa mission ngumu kama

1. Spider web operation
2. Desert storm
3. The rising lion
4. Uganda operation
5. Sudan mission nk

What a CDF in Tanzania.

C&P
 
Tanzania kwa sasa hatuna Jeshi. Tuna wapuuzi wachache wanaovaa nguo za mabaka wasiojielewa wajibu wao kw Taifa na Wananchi
 
Desert storm tanzania haikuwepo ...
 
Bora sisi askari wa jeshi la akiba (mgambo) tupewe haki ya kuilinda nchi, halafu hawa jamaa uliowataja wakaungane na policcm kuwalinda wale wahuni walio kataliwa na wananchi.
 
Back
Top Bottom