Maajabu ya awamu ya 5

Wataalamu walioajiriwa serikalini waendelee kuwa watazamaji.

Au waendelee kusaini daftari la mahudhurio na kuondika kusubiri mdhahara.

Wote ni wasomi wa tanzania hii hii.
Hapana , serikali inaweza anzisha mashirika mengine yakatumika kushauri, vipo vyuo ambavyo navyo vina nafasi
 
Hivi kazi na malengo ya crb ni yapi sambamba na ppra? Hali hii ikiendelea hatutazuia mtu binafsi nae kujifanya anabana matumizi kwa kufuata utaratibu huu mpya. Jaribu kuwa makini kidogo
 
Kwani zamani ilikuwaje mkuu? Kuna ushahidi wowote unaoonyesha baadhi ya zabuni kutolewa nje ya bajeti ya serikali kweli. Miradi yote iliyofanyika baada ya usanifu makini haiwezi kuwa na ongezeko lisilokuwa na sababu za msingi.
 
Ilikua kama nlivyosema ila price control haikua ikizingatiwa sana, tambua consultants nao wana njaa zao,sasa hawa consultants wangepewa na timu ya watu wengine Ku ensure kua kama profit margin ya contractor ni 10% ya kila item Basi izingatiwe kua kweli atakachokipata ndo hicho. Kuna item kama ktk boq zinakua na profit zaid hata ya 100%
 
huwezi kukwepa gharama kama unataka kitu kizuri,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…