wewe na nani mkuu!Siku yakidondoka atatutambua.
sheria ya manunuzi tupa kuleNamba 1.
Consultant -TBA
Contractor- TBA
Namba 2
Consultant- NHC
Contractor- NHC
Client -NHC
Namba 3
Consultant -Tanroads
Client- Tanroads
Na mengine mtaongezea, Ila ukweli tunaibiwa.
Wasomi siku zote wanajibu kwa hoja. Ila wewe ni mmoja wa wendawazimu wanaojibu kwa matusi na kejeli za elimu. My friend elimu yangu na darasa la saba huko form four mbali sana.Wewe kama ulifika hata form four Basi ulichezea ada ya mzazi wako. Akili yako imejaa tope
Na kuna matabutupu yanaoshangilia hii tabutupu!Nchi hii Tabutupu bin [HASHTAG]#Mataputapu[/HASHTAG]
Yote ni kazi ya CCM ......................!!Mbona kama unajikuna mwenyewe kaka. Hayo ndio maajabu. Kazi IPO. Unatetea wapiga dili nini. Ghorofa la floor NNE mnapiga being ya 5-10 billion sasa mtajenga mawili ama matatu. Majengo yote ya zamani yaliyodumu miaka 50 hadi 100 consultancy na contractor alikuwa nani. Mliua taasisi za umma muingize ubinafsi wenu kupitia kampuni zenu. Mtaelewa tu.
Bahati mbaya watakaofia ndani ni ndugu zetu wao wakipeta na kupongezana kwa walichovunaNchi inaendeshwa kama club ya pombe za kienyeji unategemea nini.
Wacha yaje kuporomoka tu ndio watatia akili.
Baba Consultant tokea zamani walikuwepo. Hivi unafatilia vizuri haya mambo au unaropokwa tu.mkuu swala sio kubana matumizi bali ni kufuata sheria na taratibu
Namba 1.
Consultant -TBA
Contractor- TBA
Namba 2
Consultant- NHC
Contractor- NHC
Client -NHC
Namba 3
Consultant -Tanroads
Client- Tanroads
Na mengine mtaongezea, Ila ukweli tunaibiwa.
Wataalamu walioajiriwa serikalini waendelee kuwa watazamaji.Kulikoni kufanya alichokifanya JPM,alipaswa at least kufanya jambo hili kwa manufaa ya wasomi wa taaluma ya ujenzi na wakandarasi wetu kwa ujumla.
Angekaa na bodi ya manunuzi, wapange wao price list ya hardware materials according to market price kwa wakati uliopo. Then wakae pamoja na construction consultant kutoka Ardhi University waandae kitu inaitwa "rates" ya kila construction item in which itawasaidia kuandaa bill inayoendana na uhalisia, profit margin ktk ujenzi za kumpa Mkandarasi zinaeleweka.
Then waendelee na mfumo ule ule wa kutangaza tender kwa wakandarasi, cha msingi Mkandarasi atakaezidi kiwango kilichopangwa na wataalamu wa bodi asipewe tender, na atakaeangukia kwenye budget stahiki apewe kazi. Its very simple.
Hii hoja ya majengo kuanguka ikoje. Kwamba hao wajenzi toka taasisi za serikali hawana uelewa wa kazi husika au?Bahati mbaya watakaofia ndani ni ndugu zetu wao wakipeta na kupongezana kwa walichovuna