Maajabu ya ajali za Polisi

Hohohohohooooooooo
[emoji23][emoji23][emoji56][emoji23][emoji56][emoji23][emoji23][emoji38][emoji56][emoji23][emoji23][emoji16][emoji4][emoji38][emoji4][emoji16][emoji4][emoji16][emoji16]mkuuu
 
Chaiiiiiiiiiiii
 
Chaiiiiiiiiiiiii
 
Ungechukua namba ili siku ukalambiishe koni[emoji23]
 
Lakini ni kwa huku Tz,na baadhi ya nchi za africa. Halafu naona hawabadiriki,wakati nchi nyingi siku hizi zinaendelea kustaarabika. Askari inatakiwa uwe rafiki na watu wengine,ukijifanya kama mnyama,mwisho watawafanyia unyama hata ndugu zao
 
jamaa huwapendi kabisa mapot .... Hii post yako ina matusi ma3 kwa pot Mmoja... Bwege! Mbwa! Kibaka!
Kwasasa kwasababu nawajua mabosi wao. Nawatuma sigara muda wowote. Naweza kuingia kituo cha mkoa nikamtuma desk sergeant sigara na aiwashe huko huko huku mimi namuelekeza bosi wake mambo yangu binafsi. Ukijua jinsi ya kukamua pumbu zao hawa mbwa hawakupi shida
 
Acha kutumia misemo ovyo kila msemo una pahala pake pa kutumika wanavyo pambana na majambazi wanakesha nje wengine wanakesha majini..Hila kuna baadhi awafuati misingi ya kazi yenyewe
Nakubaliana na wewe kuwa hao wachache wasiofuata misingi ya kazi zao,huaribu sifa za wenzao.
 
Askari hasa wenye vyeo vya chini wana matatizo sana,
Kwa nini wasijione kama binadamu wa kawaida tu?

Hata mie nikimkuta kakabwa lazima niwapongeze wakabaji maana hawa watu hawana utu kabisa.

Ingawa kuna wenye utu ambao nini wachache sana lakini wanafunikwa na samaki mmoja akioza.
 
Kwa majibu wa hizi comments, jeshi LA polisi Kuna haja ya kujitathimini

Kwani sio nzuri kabisa, kimsingi polisi wanatakiwa wewe marafiki na raia

Hii itawasaidia kupata taharifa mbalimbali za kiusalama

Lakini jaman si polisi wote wanaroo mbaya wapo polisi wengi tu ni mfano wa kuingwa, wanafanya kazi zao kwa ueledi

USHAURI: Tunapokuwa na mamlaka na madaraka tutende haki na tusijisahau kwani Kuna mungu ambae ni hakimu wa ukweli
 
Km ni kweli...anastahili...
HAPANA Mzee mbisse hakuwa Hivyo.
alikuwa RCO wa Pwani alifanya kazi,kwa weledi Enzi za Operation Kibiti.
baada ya hapo,akahamishiwa Mara Kanda maalumu.

Then mpaka mauti ina mkuta akawa RCO wa Mkoa wa kipolisi Ilala.

Ni Mlokole Safi KABISA na Yupo Peace Sanaa.
hakuwa na makando kando YOYOTE Yale.
alikuwa Mzee wa kanisa.

mwisho KABISA,Kesi ya Akwilina IPO Kinondoni. na kama itafika ngazi ya mkoa wa Dar (Kanda maalumu) yeye HAIMUHUSU

Daaah
Ni vile watu wanachuki na polisi, LAKINI huyu Mzee hakuwa na shida YOYOTE ile alikuwa mtu wa Haki Sana na kweli.na ndiyo maana wakamuhamisha Pwani. Enzi za Kibiti
R.I.P A.Mbisse
 
Angekuwa kweli mtu safi angeachana na hii kazi chafu
 
Angekuwa kweli mtu safi angeachana na hii kazi chafu
HAPANA,Alikuwa Mzee wa Haki na ndiyo maana Pwani (Kibiti) walimuondoa.

Hata kule Mara walimtoa baada ya kugoma kupelekeshwa na wanasiasa Enzi zile za kesi ya kina Heche na Yule Mwalimu Kabla hajahama CDM.
na kina Matiko. na bulaya.
Huyu Mzee Heche alitokea Kumuelewa Sana Hadi akawa ana mtolea mfano.

baada ya KUONA Yupo kinyume na matakwa yao.ikabidi wampumzishe Ilala Hadi Mauti ina mkuta.

Raia wengi hawaelewi kitu,wanaongea kitu,wasichokijua

wapo baadhi ya Ma RPC wapo vizuri na watu wa Haki kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…