Maajabu ya ajali za Polisi

Maisha ya hii nchi ipo cku yatanyooka tu...
 
Mzee hao watu road sign na road marks huwa haziwahusu..zinatuhusu ss raia ..usishangae kuona gari ya polisi inaovertake kwenye kona kali au mlumani
Utasema wao ni malaika wanapaa tu...
 
Wakati wa kuondoka ungekapiga konzi
 
Unadhanai wana huo muda.
 
Wajue na wao watakuwa raia tu ipo cku...
 
Walivunja au mlitoka..? Shida yao ilkuwa hela lbd
 
Hata hivyo Prado sio gari ya safari ndefu na kama unaenda safari ndefu inatakiwa uwe dereva kweli gari haina balance ya kutosha inapokua kwenye mwendo kasi inakua nyepesi kama karatasi tuu...
Si wangesema chanzo cha ajali...ni UZEMBE WA ASKARI...KUFICHA MWENZAO UOVU WAKE NI DOUBLE STANDARDS...
 
Hawapelekani mahakamani so hawana haja ya kutoa details wao na viongozi wa CCM
 
Kweli kbs, maana ht nilishangaa huyu dada ananifokea kwsbb gani?
Na kapata wapi ujasiri wa kumfokea mtu asiemfaham?
Na je ukienda hufahamiani na mtu hapo ndio hupati huduma nzuri?
Wengine washakaririshwa...POLISI TZ NI UWE HARSH...
 
Hahah kibaka ,mbwa dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…