Maajabu ya ACT: Zitto Kiongozi wa chama mstaafu ana sauti ie anasikika kuliko Kiongozi wa chama Dorothy Semu na Mwenyekiti wa chama Othman Masoud

Maajabu ya ACT: Zitto Kiongozi wa chama mstaafu ana sauti ie anasikika kuliko Kiongozi wa chama Dorothy Semu na Mwenyekiti wa chama Othman Masoud

Mimi kwangu hayo ni maajabu katika kutafsiri madaraka.ya uongozi wa chama
Na hii inatafsiri kuwa kwa Tanzania bara Zito ndiye defacto Kiongozi wa Chama
Unaijua sauti ya Othman Masoud huko Zanzibar wewe?
 
Dorothy ni pazia tu, Zitto ndio mwenye final say pale mizambarauni! Chama ni mali yake na ana interests zake zinatoka huko anakojua,,,,
 
Mimi kwangu hayo ni maajabu katika kutafsiri madaraka.ya uongozi wa chama
Na hii inatafsiri kuwa kwa Tanzania bara Zito ndiye defacto Kiongozi wa Chama
haya ni majitu yanayowalaghai waTanganyika. Ni maadui wa Taifa. watahukumiwa sawasawa na Matendo yao
 
ACT kama Iran. Ayatollah ana nguvu kuliko Rais wa nchi na Kiongozi wa Baraza la Usimamizi wa Mapinduzi
 
Zitto bado ndio kiongozi wa ACT, ukimuondoa Zitto ACT hamna kitu pale. Yule Othmana ndio kapoozesha siasa za Zanzibar kabisa. Naombaga Jussa ahamie CHADEMA ndio uone siasa zitakavyo pamba moto. Ila hao masnitch sijui Zitto na Othmana hamna kitu.
 
Kwa huku bara hicho chama ni mali ya Zitto, hata ukitaka kujiunga kama ww ni kigogo lazima kwanza ukutanishwe na yeye kufanya makubaliano.
Hao wengine pamoja na chaguzi ni kufanya justification tu kwamba kuna Demokrasia ndani ya vyama vyetu.

CDM wameondoa hiki kitu ila impact yake unaiona.
 
Mimi kwangu hayo ni maajabu katika kutafsiri madaraka.ya uongozi wa chama
Na hii inatafsiri kuwa kwa Tanzania bara Zito ndiye defacto Kiongozi wa Chama
Zito ndio mwenye chama, alistaafu kimagumashi ili ionekane yeye ni tofauti na Mbowe. Lakini pembe la ng'ombe halifichiki. Sasa hivi imebidi akae front maana wenye project ya ACT ni akina JK, Membe RIP, Mwigulu na wanataka waliyemtuma akae mbele. Nakumbuka uchaguzi wa 2020 Membe alilazimisha kuwa mgombea wa ACT, Maalim Seif akawa anamtaka Lisu. Kukawa hamna namna Zito akabaki anataka Membe awe mgombea akiwa hana jinsi, huku Maalim Seif akasema anamuunga mkono Lisu. Kwa sasa Zito lazima akae mbele, maana ni maagizo ya wenye project.
 
Back
Top Bottom