Maajabu: Twalaumiwa siye badala ya waliomfunga?

Yaani wazungu wanaotumia matrillion kwa mwaka kupigana na ugaidi, wapige kelele gaidi aachiwe huru? Wawatume mabalozi wao wawe wanahudhuria mahamani kila siku... Mabalozi wawe wanamwambia ''gaidi'' kuwa don't give up!! Kila mtu anajua wanamtesa bure tu
 
Jela sio kuzuri ndugu zangu yawezekana mbowe anahitaji kutoka kule kwa namna yoyote afu uku nje chadema mnakaza oh ivi mala vile nw ww hujiulizi why lisu na rema wanaishi uhamishoni afu wanakomaa jamaa afungwe chadema lazima mulaumiwe kwa namna moja au nyingine .

Ni kweli jela sio kuzuri, kwahiyo Lisu, Lema au cdm ndio wamemuweka jela? Unatoa ushauri wa kufundishana uoga mpaka huweki koma wala nukta!
 
Huwezi kujua kiatu wapi kinabana mpaka ukijaribu.
Take a walk in my shoes .I bet you will fall on your first step.Ni msemo wenye maana sana.
Hawa keyboard warriors wangekaa jela hata mwezi usingesikia hizi kauli za kumwambia Mwamba komaa hivyo hivyo.
We must come to our senses and end this saga.
Mwamba anahitajika kwenye familia yake .Tuache ushabiki na malumbano kwenye maisha ya mtu.
Guys cool down huu ushabiki na uharakati wa pande zote mbili haumsaidii Mwamba na wenzake.
Kesi hii imejaa sana ushabiki wa kisiasa.

Kwahiyo waliombambikia Mbowe kesi wanashinda humu mitandaoni ndio maana wanachukua maamuzi ya kumkomoa Mbowe? Fanya hivi, kwakuwa ww huna ushabiki wa kisiasa kamtoe tu bro.
 
Mkuu nyoosha maelezo badala ya risala na kingereza kingi. Tumia maneno machache tu;
1. Unataka mwamba afanye nini
2. Unataka wafuasi wafanye nini
Ushauri Murua ulishatolewa na Mh. Lowassa alipokuja Chadema. Chama kibadilike kuwa chama cha SIASA kama CCM Kutoka Chama cha UANAHARAKATI. Kushinikiza kesi ifutwe mara moja bila masharti ni Harakati. Kuelekeza Mahakama ifanye nini ni Harakati. Sabaya aliyefanya kila mbinu Mbowe asirudi bungeni ni mwana CCM, lakini huoni shinikizo la chama wala wanachama kutaka Sabaya aachiwe. Hawa ndio wanasiasa hawalazimishi mambo, wanachotaka mahakama ifanye kazi yake, mengine ni baada ya kesi. Ndio maana wanasiasa tunaiona ACT Wazarendo inaelekea kuwa Chama Kikuu baadaye. Kimejikita kutoa ushawishi wa sera zake kuliko kupiga propaganda za Kiuanaharakati.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
jamaa atakula nyundo 30,kiutani utani,halafu MA chadema ,yanachukulia poa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji28][emoji28],ushabiki wa kijinga .et ooh Mandela wa tz,siku akila nyundo ,mtaona pia Kama utani[emoji23][emoji23] ,Ila akili zitaanza kuwarudia mtakapo ona miaka inayoyoma na jamaa yuko ndani ya ngome!!
 
Msimamo wa Mbowe katika hili ni upi??

1. Je yupo tayari kuomba radhi??

2. Je yupo tayari kuendelea na kesi ili ajisafishe kupitia mahakama??

Je mawakili wake wametoa statement gani kuhusiana na mambo hayo??
Hivi Kuna nchi yeyote duniani na mbinguni ambayo Gaidi amewahi omba msamaha na akasamehewa.

Ukiona hivo Mbowe sio Gaidi aisee, au hakuna ushahidi wa kumtia hatiani
 
jamaa atakula nyundo 30,kiutani utani,halafu MA chadema ,yanachukulia poa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji28][emoji28],ushabiki wa kijinga .et ooh Mandela wa tz,siku akila nyundo ,mtaona pia Kama utani[emoji23][emoji23] ,Ila akili zitaanza kuwarudia mtakapo ona miaka inayoyoma na jamaa yuko ndani ya ngome!!
Utafurahi sana.
 
Apambane tu mahakamani.
 
jamaa atakula nyundo 30,kiutani utani,halafu MA chadema ,yanachukulia poa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji28][emoji28],ushabiki wa kijinga .et ooh Mandela wa tz,siku akila nyundo ,mtaona pia Kama utani[emoji23][emoji23] ,Ila akili zitaanza kuwarudia mtakapo ona miaka inayoyoma na jamaa yuko ndani ya ngome!!
Halafu wewe unapata nini?
 
Zile mamlaka zinazotathmini maaajabu ya dunia wanatakiwa kuchukua hili kama ni moja la ajabu duniani. Sio lazima liwe kati ya maajabu nane ila liwe tu hata ajabu la 98.

Scenario 1
Mtu anaamini Mh.Freeman Mbowe sio gaidi wala hana kosa. Anaamini anatakiwa kuwa huru kwa hali na mali. Anaamini waliomfunga wanamuonea kwa sababu za kisiasa.

Ajabu ni kwamba mtu huyu anatutaka siye tumbembeleze aliyemfunga Mbowe ili amuachie huru. Anatulaumu kwa nini tunachochea Mbowe akaze hakuna kuomba msamaha? 😥😥😥

Nasema anaamini Mbowe sio gaidi kwa sababu kama ni gaidi kweli kweli kwa nini anataka tumuombee Mbowe msamaha? Kama Mbowe ni gaidi si inabidi apigwe mvua za kutosha? Magaidi mfano wa Osama Bin Laden au Mullah Omar huwa wanatakiwa wawe Guantanamo Bay wasije wakalipua mabomu.

Kama unaamini Mbowe ni gaidi lakini unataka aombewe msahama, basi inabidi upimwe akili. Gaidi linaachiwa kwa kuombewa msahama? Yaani Gaidi la Alshaab likamatwe halafu Wasomali waanze kupaza sauti kuliombea msahama,wakati linataka kuwaua? Utakataa tukikupima akili?

Ajabu ni kwamba inashangaza mtu huyu badala ya kumlaumu yule aliyemfunga Mbowe kwa hila,analaumu wanaomlaumu aliyemfunga Mbowe.

Scenario 2
Lawama hizi kwetu zimechochewa na hukumu ndogo ya jana kwamba Mbowe ana kesi la kujibu. Wanasema makelele yetu yamemfanya jaji akaze.

Kwa hiyo mtu huyu anaamini kabisa ule ushahidi wa upande wa mashtaka hauna vigezo vya kumkuta mtu na kesi la kujibu.

Ajabu ni kwamba mtu huyu anatulaumu siye kwa nini hatuwi wapole yaishe ili Jaji alegeze?

Ajabu ni kwamba mtu huyu ameacha kumlaumu Jaji anayeaminisha watu juu ya ushahidi wa uongo anatulaumu siye tunayemlaumu Jaji,kama yeye.

Nasema mtu huyu anaamini hakuna ushahidi wa kumkuta Mbowe na kesi la kujibu kwa sababu kama Mbowe ana kesi kwa nini utulaumu siye? Kwa nini usione gaidi kakutwa na kesi ya kujibu?

Niwashauri waTz wenzangu lengeni mzizi wa tatizo sio kupaparika na watu wasiostahiki lawama. Hali hii inaonyesha unyonge wa kuzidi kipimo na tunaonekana taifa la hovyo kuliko mfano.

Kama sio taifa la watu wa hovyo, kwa nini umlaumu mtu anayekataa kulamba viatu au makalio?! Mtu huyu anatakiwa kupongezwa na kuungwa mkono
scanario 1 umekose inasimama kama vile Mbowe amesha hukumiwa kifungo jela, kuwa na kesi ya kujibu sio kuhukumiwa kifungo.
najua unaufahamu wakutosha juu ya hilo. kutokana na watz wengi kutokutambua tofauti ya kesi ya kujibuna kuhukumiwa ni jukumu letu kuwaelisha juu ya hilo.
 
Huwezi kujua kiatu wapi kinabana mpaka ukijaribu.
Take a walk in my shoes .I bet you will fall on your first step.Ni msemo wenye maana sana.
Hawa keyboard warriors wangekaa jela hata mwezi usingesikia hizi kauli za kumwambia Mwamba komaa hivyo hivyo.
We must come to our senses and end this saga.
Mwamba anahitajika kwenye familia yake .Tuache ushabiki na malumbano kwenye maisha ya mtu.
Guys cool down huu ushabiki na uharakati wa pande zote mbili haumsaidii Mwamba na wenzake.
Kesi hii imejaa sana ushabiki wa kisiasa.
Kwa hiyo unashauri nini?? Aombe msamaha ili aachiwe??
 
Haya maneno yaelekeze CCM na serikali yake. Lissu na Lema ndio wamemfunga Mbowe?
Jela sio kuzuri ndugu zangu yawezekana mbowe anahitaji kutoka kule kwa namna yoyote afu uku nje chadema mnakaza oh ivi mala vile nw ww hujiulizi why lisu na rema wanaishi uhamishoni afu wanakomaa jamaa afungwe chadema lazima mulaumiwe kwa namna moja au nyingine .
 
Ushauri Murua ulishatolewa na Mh. Lowassa alipokuja Chadema. Chama kibadilike kuwa chama cha SIASA kama CCM Kutoka Chama cha UANAHARAKATI. Kushinikiza kesi ifutwe mara moja bila masharti ni Harakati. Kuelekeza Mahakama ifanye nini ni Harakati. Sabaya aliyefanya kila mbinu Mbowe asirudi bungeni ni mwana CCM, lakini huoni shinikizo la chama wala wanachama kutaka Sabaya aachiwe. Hawa ndio wanasiasa hawalazimishi mambo, wanachotaka mahakama ifanye kazi yake, mengine ni baada ya kesi. Ndio maana wanasiasa tunaiona ACT Wazarendo inaelekea kuwa Chama Kikuu baadaye. Kimejikita kutoa ushawishi wa sera zake kuliko kupiga propaganda za Kiuanaharakati.
Huna lolote, hujawahi kuonewa wewe
 
Zile mamlaka zinazotathmini maaajabu ya dunia wanatakiwa kuchukua hili kama ni moja la ajabu duniani. Sio lazima liwe kati ya maajabu nane ila liwe tu hata ajabu la 98.

Scenario 1
Mtu anaamini Mh.Freeman Mbowe sio gaidi wala hana kosa. Anaamini anatakiwa kuwa huru kwa hali na mali. Anaamini waliomfunga wanamuonea kwa sababu za kisiasa.

Ajabu ni kwamba mtu huyu anatutaka siye tumbembeleze aliyemfunga Mbowe ili amuachie huru. Anatulaumu kwa nini tunachochea Mbowe akaze hakuna kuomba msamaha? 😥😥😥

Nasema anaamini Mbowe sio gaidi kwa sababu kama ni gaidi kweli kweli kwa nini anataka tumuombee Mbowe msamaha? Kama Mbowe ni gaidi si inabidi apigwe mvua za kutosha? Magaidi mfano wa Osama Bin Laden au Mullah Omar huwa wanatakiwa wawe Guantanamo Bay wasije wakalipua mabomu.

Kama unaamini Mbowe ni gaidi lakini unataka aombewe msahama, basi inabidi upimwe akili. Gaidi linaachiwa kwa kuombewa msahama? Yaani Gaidi la Alshaab likamatwe halafu Wasomali waanze kupaza sauti kuliombea msahama,wakati linataka kuwaua? Utakataa tukikupima akili?

Ajabu ni kwamba inashangaza mtu huyu badala ya kumlaumu yule aliyemfunga Mbowe kwa hila,analaumu wanaomlaumu aliyemfunga Mbowe.

Scenario 2
Lawama hizi kwetu zimechochewa na hukumu ndogo ya jana kwamba Mbowe ana kesi la kujibu. Wanasema makelele yetu yamemfanya jaji akaze.

Kwa hiyo mtu huyu anaamini kabisa ule ushahidi wa upande wa mashtaka hauna vigezo vya kumkuta mtu na kesi la kujibu.

Ajabu ni kwamba mtu huyu anatulaumu siye kwa nini hatuwi wapole yaishe ili Jaji alegeze?

Ajabu ni kwamba mtu huyu ameacha kumlaumu Jaji anayeaminisha watu juu ya ushahidi wa uongo anatulaumu siye tunayemlaumu Jaji,kama yeye.

Nasema mtu huyu anaamini hakuna ushahidi wa kumkuta Mbowe na kesi la kujibu kwa sababu kama Mbowe ana kesi kwa nini utulaumu siye? Kwa nini usione gaidi kakutwa na kesi ya kujibu?

Niwashauri waTz wenzangu lengeni mzizi wa tatizo sio kupaparika na watu wasiostahiki lawama. Hali hii inaonyesha unyonge wa kuzidi kipimo na tunaonekana taifa la hovyo kuliko mfano.

Kama sio taifa la watu wa hovyo, kwa nini umlaumu mtu anayekataa kulamba viatu au makalio?! Mtu huyu anatakiwa kupongezwa na kuungwa mkono
Nasema adui no MOJA wa Taifa Hili, ni washirika wote waliotunga KESI hii, wameligawa taifa leo siku ya tatu mfululizo inajadiliwa kwenye group la Diaspora huko club house, KILA ikichungulia hawapungui watu laki 2 au laki na hamsini, na zinapigwa nyundo sio za nchi hii, watu wamechafukwa

Nilicho jifunza Diaspora wanayajua matatizo ya ndani ya nchi WENDA kuliko hata tuishio huku
 
[/QUOTE]
Tuseme hue

naomba link mkuu
 
Ushauri Murua ulishatolewa na Mh. Lowassa alipokuja Chadema. Chama kibadilike kuwa chama cha SIASA kama CCM Kutoka Chama cha UANAHARAKATI. Kushinikiza kesi ifutwe mara moja bila masharti ni Harakati. Kuelekeza Mahakama ifanye nini ni Harakati. Sabaya aliyefanya kila mbinu Mbowe asirudi bungeni ni mwana CCM, lakini huoni shinikizo la chama wala wanachama kutaka Sabaya aachiwe. Hawa ndio wanasiasa hawalazimishi mambo, wanachotaka mahakama ifanye kazi yake, mengine ni baada ya kesi. Ndio maana wanasiasa tunaiona ACT Wazarendo inaelekea kuwa Chama Kikuu baadaye. Kimejikita kutoa ushawishi wa sera zake kuliko kupiga propaganda za Kiuanaharakati.
Yeye Lowasa Kama alijua Chama ni harakati why alikuja na kupata ushindi ambao ulipolwa
 
Huwezi kujua kiatu wapi kinabana mpaka ukijaribu.
Take a walk in my shoes .I bet you will fall on your first step.Ni msemo wenye maana sana.
Hawa keyboard warriors wangekaa jela hata mwezi usingesikia hizi kauli za kumwambia Mwamba komaa hivyo hivyo.
We must come to our senses and end this saga.
Mwamba anahitajika kwenye familia yake .Tuache ushabiki na malumbano kwenye maisha ya mtu.
Guys cool down huu ushabiki na uharakati wa pande zote mbili haumsaidii Mwamba na wenzake.
Kesi hii imejaa sana ushabiki wa kisiasa.
Kwa hiyo ambe msamaha kwa kosa la ugaidi?
Ndugu yangu kwa hili una mitazamo ya iliyojaa unyonge unaotia shaka sana.
Jifunze SASA kukataa kudhalilishwa, inuka kulinda heshima na utu wako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom