Maajabu: Twalaumiwa siye badala ya waliomfunga?

Zile mamlaka zinazotathmini maaajabu ya dunia wanatakiwa kuchukua hili kama ni moja la ajabu duniani. Sio lazima liwe kati ya maajabu nane ila liwe tu hata ajabu la 98.

Scenario 1
Mtu anaamini Mh.Freeman Mbowe sio gaidi wala hana kosa. Anaamini anatakiwa kuwa huru kwa hali na mali. Anaamini waliomfunga wanamuonea kwa sababu za kisiasa.

Ajabu ni kwamba mtu huyu anatutaka siye tumbembeleze aliyemfunga Mbowe ili amuachie huru. Anatulaumu kwa nini tunachochea Mbowe akaze hakuna kuomba msamaha? 😥😥😥

Nasema anaamini Mbowe sio gaidi kwa sababu kama ni gaidi kweli kweli kwa nini anataka tumuombee Mbowe msamaha? Kama Mbowe ni gaidi si inabidi apigwe mvua za kutosha? Magaidi mfano wa Osama Bin Laden au Mullah Omar huwa wanatakiwa wawe Guantanamo Bay wasije wakalipua mabomu.

Kama unaamini Mbowe ni gaidi lakini unataka aombewe msahama, basi inabidi upimwe akili. Gaidi linaachiwa kwa kuombewa msahama? Yaani Gaidi la Alshaab likamatwe halafu Wasomali waanze kupaza sauti kuliombea msahama,wakati linataka kuwaua? Utakataa tukikupima akili?

Ajabu ni kwamba inashangaza mtu huyu badala ya kumlaumu yule aliyemfunga Mbowe kwa hila,analaumu wanaomlaumu aliyemfunga Mbowe.

Scenario 2
Lawama hizi kwetu zimechochewa na hukumu ndogo ya jana kwamba Mbowe ana kesi la kujibu. Wanasema makelele yetu yamemfanya jaji akaze.

Kwa hiyo mtu huyu anaamini kabisa ule ushahidi wa upande wa mashtaka hauna vigezo vya kumkuta mtu na kesi la kujibu.

Ajabu ni kwamba mtu huyu anatulaumu siye kwa nini hatuwi wapole yaishe ili Jaji alegeze?

Ajabu ni kwamba mtu huyu ameacha kumlaumu Jaji anayeaminisha watu juu ya ushahidi wa uongo anatulaumu siye tunayemlaumu Jaji,kama yeye.

Nasema mtu huyu anaamini hakuna ushahidi wa kumkuta Mbowe na kesi la kujibu kwa sababu kama Mbowe ana kesi kwa nini utulaumu siye? Kwa nini usione gaidi kakutwa na kesi ya kujibu?

Niwashauri waTz wenzangu lengeni mzizi wa tatizo sio kupaparika na watu wasiostahiki lawama. Hali hii inaonyesha unyonge wa kuzidi kipimo na tunaonekana taifa la hovyo kuliko mfano.

Kama sio taifa la watu wa hovyo, kwa nini umlaumu mtu anayekataa kulamba viatu au makalio?! Mtu huyu anatakiwa kupongezwa na kuungwa mkono
🤣🤣🤣🤣waliomfunga wanalaumu sisi tunaolia na mfungwa.
 
Jela sio kuzuri ndugu zangu yawezekana mbowe anahitaji kutoka kule kwa namna yoyote afu uku nje chadema mnakaza oh ivi mala vile nw ww hujiulizi why lisu na rema wanaishi uhamishoni afu wanakomaa jamaa afungwe chadema lazima mulaumiwe kwa namna moja au nyingine .
Kwani sisi ndio tumemfunga?? Mbona juzi tu mmelala na mawazo baada ya kuona Lissu na Samia wanaongea?

Wanafiki nyie
 
Msimamo wa Mbowe katika hili ni upi??

1. Je yupo tayari kuomba radhi??

2. Je yupo tayari kuendelea na kesi ili ajisafishe kupitia mahakama??

Je mawakili wake wametoa statement gani kuhusiana na mambo hayo??
Si nyie juzi mlilala na viatu baada ya kuona Tundu yuko na Samia.

hopeless people nyie.

Hakafu kwanini mnaumia nyie Mbowe kuwa gerezani??
 
Ushauri Murua ulishatolewa na Mh. Lowassa alipokuja Chadema. Chama kibadilike kuwa chama cha SIASA kama CCM Kutoka Chama cha UANAHARAKATI. Kushinikiza kesi ifutwe mara moja bila masharti ni Harakati. Kuelekeza Mahakama ifanye nini ni Harakati. Sabaya aliyefanya kila mbinu Mbowe asirudi bungeni ni mwana CCM, lakini huoni shinikizo la chama wala wanachama kutaka Sabaya aachiwe. Hawa ndio wanasiasa hawalazimishi mambo, wanachotaka mahakama ifanye kazi yake, mengine ni baada ya kesi. Ndio maana wanasiasa tunaiona ACT Wazarendo inaelekea kuwa Chama Kikuu baadaye. Kimejikita kutoa ushawishi wa sera zake kuliko kupiga propaganda za Kiuanaharakati.
Pole ndugu,
Umenichekesha na kunikumbusha juu ya sungura wa kwenye hadithi, aliewashauri wanyama wengine baada ya kumkamata na kumhukumu, kuwa wakitakaka afe haraka wasimtupe kwenye 'mwamba' kama walivyopanga, bali kwenye mchanga. Hatudanganyiki.
 
Jela sio kuzuri ndugu zangu yawezekana mbowe anahitaji kutoka kule kwa namna yoyote afu uku nje chadema mnakaza oh ivi mala vile nw ww hujiulizi why lisu na rema wanaishi uhamishoni afu wanakomaa jamaa afungwe chadema lazima mulaumiwe kwa namna moja au nyingine .
Umemuelewa kweli aliyeandika? Kwani chadema ndio waliomfungulia mbowe kesi?
Kwa nini usilaumu serikali kwa kumfungulia mbowe kesi?
 
Zile mamlaka zinazotathmini maaajabu ya dunia wanatakiwa kuchukua hili kama ni moja la ajabu duniani. Sio lazima liwe kati ya maajabu nane ila liwe tu hata ajabu la 98.

Scenario 1
Mtu anaamini Mh.Freeman Mbowe sio gaidi wala hana kosa. Anaamini anatakiwa kuwa huru kwa hali na mali. Anaamini waliomfunga wanamuonea kwa sababu za kisiasa.

Ajabu ni kwamba mtu huyu anatutaka siye tumbembeleze aliyemfunga Mbowe ili amuachie huru. Anatulaumu kwa nini tunachochea Mbowe akaze hakuna kuomba msamaha? [emoji26][emoji26][emoji26]

Nasema anaamini Mbowe sio gaidi kwa sababu kama ni gaidi kweli kweli kwa nini anataka tumuombee Mbowe msamaha? Kama Mbowe ni gaidi si inabidi apigwe mvua za kutosha? Magaidi mfano wa Osama Bin Laden au Mullah Omar huwa wanatakiwa wawe Guantanamo Bay wasije wakalipua mabomu.

Kama unaamini Mbowe ni gaidi lakini unataka aombewe msahama, basi inabidi upimwe akili. Gaidi linaachiwa kwa kuombewa msahama? Yaani Gaidi la Alshaab likamatwe halafu Wasomali waanze kupaza sauti kuliombea msahama,wakati linataka kuwaua? Utakataa tukikupima akili?

Ajabu ni kwamba inashangaza mtu huyu badala ya kumlaumu yule aliyemfunga Mbowe kwa hila,analaumu wanaomlaumu aliyemfunga Mbowe.

Scenario 2
Lawama hizi kwetu zimechochewa na hukumu ndogo ya jana kwamba Mbowe ana kesi la kujibu. Wanasema makelele yetu yamemfanya jaji akaze.

Kwa hiyo mtu huyu anaamini kabisa ule ushahidi wa upande wa mashtaka hauna vigezo vya kumkuta mtu na kesi la kujibu.

Ajabu ni kwamba mtu huyu anatulaumu siye kwa nini hatuwi wapole yaishe ili Jaji alegeze?

Ajabu ni kwamba mtu huyu ameacha kumlaumu Jaji anayeaminisha watu juu ya ushahidi wa uongo anatulaumu siye tunayemlaumu Jaji,kama yeye.

Nasema mtu huyu anaamini hakuna ushahidi wa kumkuta Mbowe na kesi la kujibu kwa sababu kama Mbowe ana kesi kwa nini utulaumu siye? Kwa nini usione gaidi kakutwa na kesi ya kujibu?

Niwashauri waTz wenzangu lengeni mzizi wa tatizo sio kupaparika na watu wasiostahiki lawama. Hali hii inaonyesha unyonge wa kuzidi kipimo na tunaonekana taifa la hovyo kuliko mfano.

Kama sio taifa la watu wa hovyo, kwa nini umlaumu mtu anayekataa kulamba viatu au makalio?! Mtu huyu anatakiwa kupongezwa na kuungwa mkono
Swali ni , "Je, kwani Mbowe mwenyewe anasemaje?

Acheni huruma feki eti aombe msamaha, kwama mwenyewe ameridhika kesi iende mpaka mwisho ni maamuzi yake, hyo jela angekuwa anaiogopa angeomba huo msamaha, na chadema wanashikilia msimamo wa chairman wao kwamba ni either kesi iendelee au aachiwe bila masharti kwa maana ya kufuta kesi, sasa tukishasema aombe msamaha aombe kwa kosa lipi? La kufanya ugaidi? Je ugaidi unafutwa kwa kuomba msamaha, mtu hatari kama gaidi anatokaje kwa kuomba msamaha, ni either mdhibitishe ni gaidi afungwe kwa kuwa ni hali ya gaidi kupotelea huko jela kwa usalama wa taifa letu, au mshindwe kudhibitisha mmuombe radhi kwa uwongo na mfute mashtaka, katika hili chadema wako sahihi .
Karne ya 21 mnataka tuishi zama za mfalme na watumwa za kuwaabudu watawala, sio sawa.
 
Umemuelewa kweli aliyeandika? Kwani chadema ndio waliomfungulia mbowe kesi?
Kwa nini usilaumu serikali kwa kumfungulia mbowe kesi?
Yaani madai ya hawa team roho ya kutu hata hawaeleweki
 
Swali ni , "Je, kwani Mbowe mwenyewe anasemaje?

Acheni huruma feki eti aombe msamaha, kwama mwenyewe ameridhika kesi iende mpaka mwisho ni maamuzi yake, hyo jela angekuwa anaiogopa angeomba huo msamaha, na chadema wanashikilia msimamo wa chairman wao kwamba ni either kesi iendelee au aachiwe bila masharti kwa maana ya kufuta kesi, sasa tukishasema aombe msamaha aombe kwa kosa lipi? La kufanya ugaidi? Je ugaidi unafutwa kwa kuomba msamaha, mtu hatari kama gaidi anatokaje kwa kuomba msamaha, ni either mdhibitishe ni gaidi afungwe kwa kuwa ni hali ya gaidi kupotelea huko jela kwa usalama wa taifa letu, au mshindwe kudhibitisha mmuombe radhi kwa uwongo na mfute mashtaka, katika hili chadema wako sahihi .
Karne ya 21 mnataka tuishi zama za mfalme na watumwa za kuwaabudu watawala, sio sawa.
Eti waliomfunga ndio wa amuonea huruma. Sasa si wamtoe.
 
Yeye Lowasa Kama alijua Chama ni harakati why alikuja na kupata ushindi ambao ulipolwa
Uzuri Lowassa mpaka leo hakuwahi kulalamika kuwa aliporwa, anachojisifia kwa uanasiasa wake, ni kuwa aliipaisha Chadema kwa kupata kura 6,000,000 na wabunge kibao. Mlipomtia kichefuchefu mmeambulia mlichokipata.😅😅
 
Zile mamlaka zinazotathmini maaajabu ya dunia wanatakiwa kuchukua hili kama ni moja la ajabu duniani. Sio lazima liwe kati ya maajabu nane ila liwe tu hata ajabu la 98.

Scenario 1
Mtu anaamini Mh.Freeman Mbowe sio gaidi wala hana kosa. Anaamini anatakiwa kuwa huru kwa hali na mali. Anaamini waliomfunga wanamuonea kwa sababu za kisiasa.

Ajabu ni kwamba mtu huyu anatutaka siye tumbembeleze aliyemfunga Mbowe ili amuachie huru. Anatulaumu kwa nini tunachochea Mbowe akaze hakuna kuomba msamaha? 😥😥😥

Nasema anaamini Mbowe sio gaidi kwa sababu kama ni gaidi kweli kweli kwa nini anataka tumuombee Mbowe msamaha? Kama Mbowe ni gaidi si inabidi apigwe mvua za kutosha? Magaidi mfano wa Osama Bin Laden au Mullah Omar huwa wanatakiwa wawe Guantanamo Bay wasije wakalipua mabomu.

Kama unaamini Mbowe ni gaidi lakini unataka aombewe msahama, basi inabidi upimwe akili. Gaidi linaachiwa kwa kuombewa msahama? Yaani Gaidi la Alshaab likamatwe halafu Wasomali waanze kupaza sauti kuliombea msahama,wakati linataka kuwaua? Utakataa tukikupima akili?

Ajabu ni kwamba inashangaza mtu huyu badala ya kumlaumu yule aliyemfunga Mbowe kwa hila,analaumu wanaomlaumu aliyemfunga Mbowe.

Scenario 2
Lawama hizi kwetu zimechochewa na hukumu ndogo ya jana kwamba Mbowe ana kesi la kujibu. Wanasema makelele yetu yamemfanya jaji akaze.

Kwa hiyo mtu huyu anaamini kabisa ule ushahidi wa upande wa mashtaka hauna vigezo vya kumkuta mtu na kesi la kujibu.

Ajabu ni kwamba mtu huyu anatulaumu siye kwa nini hatuwi wapole yaishe ili Jaji alegeze?

Ajabu ni kwamba mtu huyu ameacha kumlaumu Jaji anayeaminisha watu juu ya ushahidi wa uongo anatulaumu siye tunayemlaumu Jaji,kama yeye.

Nasema mtu huyu anaamini hakuna ushahidi wa kumkuta Mbowe na kesi la kujibu kwa sababu kama Mbowe ana kesi kwa nini utulaumu siye? Kwa nini usione gaidi kakutwa na kesi ya kujibu?

Niwashauri waTz wenzangu lengeni mzizi wa tatizo sio kupaparika na watu wasiostahiki lawama. Hali hii inaonyesha unyonge wa kuzidi kipimo na tunaonekana taifa la hovyo kuliko mfano.

Kama sio taifa la watu wa hovyo, kwa nini umlaumu mtu anayekataa kulamba viatu au makalio?! Mtu huyu anatakiwa kupongezwa na kuungwa mkono
Ni mahakama tu ndio itakayosema kuwa Mbowe ni gaidi ama la. Sio wajinga waliojazana JF eti "Mbowe sio Gaidi" wala Mabalozi watakaomu acquit Mbowe na ugaidi. Narudia tena, ni Mahakama tu!
 
Uzuri Lowassa mpaka leo hakuwahi kulalamika kuwa aliporwa, anachojisifia kwa uanasiasa wake, ni kuwa aliipaisha Chadema kwa kupata kura 6,000,000 na wabunge kibao. Mlipomtia kichefuchefu mmeambulia mlichokipata.😅😅
Aliyesema ataenda ICJ ni nani? Nani alizuiliwa mazishi mwanza kama aio Lowasa??

Lowasa alirudi ccm baada ya Mmwamba kumtishia kumfilisi mali zote. Akaona asije akawaacha akina Fredi na dimbwi la umaskini na mateso akafumba macho akarudi kwa msaada wa Rostarmina
 
Ni mahakama tu ndio itakayosema kuwa Mbowe ni gaidi ama la. Sio wajinga waliojazana JF eti "Mbowe sio Gaidi" wala Mabalozi watakaomu acquit Mbowe na ugaidi. Narudia tena, ni Mahakama tu!
Ulimwengu woote unajua Kesi Mbowe ni kesi hewa hata akifungwa
 
Uzuri Lowassa mpaka leo hakuwahi kulalamika kuwa aliporwa, anachojisifia kwa uanasiasa wake, ni kuwa aliipaisha Chadema kwa kupata kura 6,000,000 na wabunge kibao. Mlipomtia kichefuchefu mmeambulia mlichokipata.😅😅
Sawa umeshinda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom