Zamaulid
Platinum Member
- May 25, 2009
- 20,244
- 16,616
azina= HAZINA
usika=husika
azina= HAZINA
mim mwenyewe hadi sasa nimeshakata tamaa kudai mshahara wangu wa June mwaka Jana., wala sijui nimdai nani! kila siku idara wamekua wakinipa matumaini yasiyo na ukweli..
= Mwajiriwa
"blabla" ndiyo nini? sema alichokueleza wachana na "blabla".
Asante Ajuza wa Jf!
Nakuheshimu sana kwa misimamo yako ya ajabu.
Blabla= maelezo yasioendana na maulizo.
Elezea hayo maelezo yasiyoendana na maulizo ni yepi? La sivyo utakuwa wewe ndiyo mwenye hizo "blabla".
Me so mkubwa mwenzio Bi FF!
Me kitukuu chako kabisaaa. Niache nsije pata curse bure.
Utaratibu upo hvi wakati mtumishi unaingizwa kwenye payroll hakuna option ya kuweka A/N mpaka upate check No sasa inawezekana Mara baada ya kuingia kwenye payroll HR wako alichelewa kuingiza Akaunti no yako kwenye mfumo mpaka payroll ilipofungwa normally trh 5-10 ya kila mwezi sasa kwa kuwa wakati wa directly deposit wa mishahara ya watumishi unafanyika NMB HQ akaunti No yako ilimiss hvyo fedha husika kurejeshwa Hazina
kwa maana ya kwamba kwa kuwa tayali umeshaoonekana kwenye orodha ya malipo ya mwezi husika ni jukumu la mwajiri wako kumwandikia barua Meneja ya NMB wa sehemu husika ambaye huwaandikia makao makuu khs kukulipa fedha yako ambao hufanya mawasiliano na Hazina na wewe kuweza kulipwa but hakikisha ili tatizo lisiendelee A/N yako inaingizwa kwenye mfumo na HR wako . kulipwa fedha yako inaweza kuchukua cku 6-7 inategemea na ushapu wa Halmashauri yako kushughulikia tatizo.
Kiukweli wewe ni GT you are 100% correct
Wewe wacha porojo, unakuja na habari za kusadikika unapoulizwa unakuja na "blabla".
Uongo mbaya. Kuna "curse" zaidi ya kuwa muongo? Fikiri.
Hapo bado pia kwan halmashaur zina watu wengi
Mungu mkubwa.
Asante wadau kwa michango yenu.
Nimefatilia mpaka nimefanikiwa.
Nimepata mshahara wangu.