Maajabu: Salary slip bila mshahara! Hazina mpo wapi?

Maajabu: Salary slip bila mshahara! Hazina mpo wapi?

Robot la Matope

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2015
Posts
8,593
Reaction score
17,559
Hi wakubwa wangu na wadogo zangu.

Me ni mwajiliwa mpya ktk Halmashauri flani.

Leo nmepokea salary slip kutoka halmashauri usika, kwa shida nilizonazo nkakimbia Benki maajabu nkakuta hakuna hata mia!

Nkarudi kwa HR wa halmashauri akanipa blabla!

Sasa wakubwa nimuulize nani pesa zangu zilipo?
 
wa mwezi wa tano.
Salary slip inaonyesha ilitoka tarehe 31/05.
NB: ndo mshahara wangu wa kwanza.

Utaratibu upo hvi wakati mtumishi unaingizwa kwenye payroll hakuna option ya kuweka A/N mpaka upate check No sasa inawezekana Mara baada ya kuingia kwenye payroll HR wako alichelewa kuingiza Akaunti no yako kwenye mfumo mpaka payroll ilipofungwa normally trh 5-10 ya kila mwezi sasa kwa kuwa wakati wa directly deposit wa mishahara ya watumishi unafanyika NMB HQ akaunti No yako ilimiss hvyo fedha husika kurejeshwa Hazina

kwa maana ya kwamba kwa kuwa tayali umeshaoonekana kwenye orodha ya malipo ya mwezi husika ni jukumu la mwajiri wako kumwandikia barua Meneja ya NMB wa sehemu husika ambaye huwaandikia makao makuu khs kukulipa fedha yako ambao hufanya mawasiliano na Hazina na wewe kuweza kulipwa but hakikisha ili tatizo lisiendelee A/N yako inaingizwa kwenye mfumo na HR wako . kulipwa fedha yako inaweza kuchukua cku 6-7 inategemea na ushapu wa Halmashauri yako kushughulikia tatizo.
 
Utaratibu upo hvi wakati mtumishi unaingizwa kwenye payroll hakuna option ya kuweka A/N mpaka upate check No sasa inawezekana Mara baada ya kuingia kwenye payroll HR wako alichelewa kuingiza Akaunti no yako kwenye mfumo mpaka payroll ilipofungwa normally trh 5-10 ya kila mwezi sasa kwa kuwa wakati wa directly deposit wa mishahara ya watumishi unafanyika NMB HQ akaunti No yako ilimiss hvyo fedha husika kurejeshwa Hazina kwa maana ya kwamba kwa kuwa tayali umeshaoonekana kwenye orodha ya malipo ya mwezi husika ni jukumu la mwajiri wako kumwandikia barua Meneja ya NMB wa sehemu husika ambaye huwaandikia makao makuu khs kukulipa fedha yako ambao hufanya mawasiliano na Hazina na wewe kuweza kulipwa but hakikisha ili tatizo lisiendelee A/N yako inaingizwa kwenye mfumo na HR wako . kulipwa fedha yako inaweza kuchukua cku 6-7 inategemea na ushapu wa Halmashauri yako kushughulikia tatizo.

Asante sana mkuu.
Sasa umenipa mwanga but bado mbele giza ni nene.
HR wangu kwakweli ni mzee, inaonekana haya mambo hayajui na anamtumia Ps wake ambaye kwa kumwangalia naye hajui!
Mf: Leo baada ya kuona maajabu haya nimemfata HR nkamuuliza kinachoendelea akanijibu hata yeye hajui.
Sasa sijui hili suala nilifikishe kwa uongozi wa juu?
Maana nina hali mbaya!
 
Yaani H/W ina HR 1 tu! Pole aisee but suluhisho bado analo mwajiri wako hapohapo ambapo HR vitu kama hvyo ndio anatakiwa kushughulikia. Daaah huyo Mzee atakuwa ni BBC na hyo PS atakuwa amekaririshwa vitu vya kufanya kwenye mfumo hvyo hana uelewa mpana sasa hilo ni tatizo Duh cjui ufanyeje kazi kwelikwelii ila issue yenyewe ni ndogo sana
 
Asante mkuu kwa kunipa moyo. Leo naisi ofisi za halmashauri hazitatosha. Ntarudia kuwaelezea.
 
Upo halmashauri gani?njoo pm bwana mdogo upewe dawa,
 
wameagizwa kulipa mishahara ya mwez may kwa watishi wapya wote walioanza kazi may. jana kuna mil 91 nilishudia zimechukuliwa kwa ajili hiyo. we nenda kakomae nao, pesa ipo na inapwa direct mkononi
 
jisajiri kwenye sms alert ndugu transaction ikifanyika kwenye account yako unapata meseji.
 
wameagizwa kulipa mishahara ya mwez may kwa watishi wapya wote walioanza kazi may. jana kuna mil 91 nilishudia zimechukuliwa kwa ajili hiyo. we nenda kakomae nao, pesa ipo na inapwa direct mkononi

Duhh hii serikali yetu ina utani sasa hiyo million 91 watalipa wangapi??
 
Hi wakubwa wangu na wadogo zangu.

Me ni mwajiliwa mpya ktk Halmashauri flani.

Leo nmepokea salary slip kutoka halmashauri usika, kwa shida nilizonazo nkakimbia Benki maajabu nkakuta hakuna hata mia!

Nkarudi kwa HR wa halmashauri akanipa blabla!

Sasa wakubwa nimuulize nani pesa zangu zilipo?

= Mwajiriwa

"blabla" ndiyo nini? sema alichokueleza wachana na "blabla".
 
mim mwenyewe hadi sasa nimeshakata tamaa kudai mshahara wangu wa June mwaka Jana., wala sijui nimdai nani! kila siku idara wamekua wakinipa matumaini yasiyo na ukweli..
 
Duhh hii serikali yetu ina utani sasa hiyo million 91 watalipa wangapi??

unaziona ndogo? kumbuka ni halimashauri moja tu, chukua mil 91 gawia kwa lak 5 ambazo sio wote wanapata hizo, unapata watumishi wangapi? hafu kumbuka wengine walipata mishahara yao ya may
 
unaziona ndogo? kumbuka ni halimashauri moja tu, chukua mil 91 gawia kwa lak 5 ambazo sio wote wanapata hizo, unapata watumishi wangapi? hafu kumbuka wengine walipata mishahara yao ya may

Hapo bado pia kwan halmashaur zina watu wengi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom