sinjo
Member
- Feb 10, 2014
- 7
- 3
Kama unajiskia haja jisaidie hapa
haaaa nani mjinga huyo hapo ni specially kwa bata tu and not man
Kama unajiskia haja jisaidie hapa
extraordionary unajua tumbo lakuharisha? Kuna mizizi flani ivi wanasema inasafisha tumbo, ushawahi kula? Unaambiwa iyo lazima ule jumapili, ukila siku ya kazi huko kazini utakua kitukoyan hata kama ungekuwa umebanwaje, hapo haja si ndogo wala kubwa haitoki ng'oooo!
extraordionary unajua tumbo lakuharisha? Kuna mizizi flani ivi wanasema inasafisha tumbo, ushawahi kula? Unaambiwa iyo lazima ule jumapili, ukila siku ya kazi huko kazini utakua kituko
Sasa na safari huko unakutaka na kitu kama hicho
Daaah afadhali hujakuta mtu kaingia
Weeeee usirudie kusema ivo
Basi tu....