Maajabu ni mengi


umenifurahisha nimecheka hadi machozi
 
Naweza kukojoa ila sio kingine

Ndugu yangu utafiti yaani uko tayari kuonyesha mali kuliko kuachia wazi makota? Hayana maana hayo, yasingewekwa nyuma kusiko ulinzi lakini hiyo nyengine umewekewa mbele upate kuilinda!
 
hapo na kagazeti kako ka udaku kama sani lenye kichwa cha habari ''njemba ya fumaniwa, yaliwa kiboga hadharani'' dah burdaan
 
Hapo labda uck ndio unaweza kujisitiri, ila mwanga ukitamalaki na tukakukuta unafanya haja lazima utakuwa na mapungufu kiasi fulani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…