Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,560
- 7,914
Maajabu mwenyekiti achaguliwe na chama alafu msajiri aje amtengue kwani mwenyekiti wa chama cha siasa aliteuliwa na msajiri?
Kwani msajiri ndio alimpa kazi mwenyekiti wa chama cha siasa haya mambo yalianza kama utani baada ya kuanza kuchezea chadema na ACT kwa kutumia ofisi ya msajiri sahivi wanafanya vitu ambavyo hawana mamlaka navyo kinyume cha sheria.
Watu wajinga na wapumbavu hawapaswi kuwa viongozi wa nchi kwakuwa hawana akili timamu mda wote wanawaza upumbavu matendo yao ni upumbavu tu,, maongezi yao ni upumbavu tu kila kitu ni upumbavu tu.