Habari wanajamvi jana tulikuwa kwenye story za kawaida ila kwenye cm yake akawa anachart huku akicheka mwishoe akaona atushirikishe hiyo mes ya kwanza kuingia kwenye cm ikisema hivi: Kaka flani yani jina lake mimi nakusalimu tu ila baada ya salama nilikuwa nakutaharifu kwamba kama utahitaji huduma ya mapenzi nipigie tu kwa no hii, kaka flani akamjibu kwani nani mwenzangu, bibie akajibu hivi akamwambia utanifahamu tu kaka flani akamuuliza nani kakupa no yangu? Akamjibu no mbona zinapatikana tu kaka flani usijali mimi utanijua siku hiyo tukikutana na hata kama kuna rafiki zako wanataka hii huduma waambie pia na no uwape na huduma yenyewe ipo hivi: ukitaka nyuma kwa usiku mzima ni laki na kama kawaida ni maelewano, kaka akamjibu ok ikitokea nitakujulisha hapo ndio tukawa tunajiuliza kulikoni sasa badala ya kujiweka mabarabarani, mahotelini, mabaa imekuwa haitoshi au ndio ubunifu? Nikasema hapana ngoja nije kushare na MMU huku nisikie hili jambo mmeshakutana nalo kaka zangu au ndio jipya. Karibuni