Filimbi Haki
Member
- Jul 22, 2017
- 34
- 15
Angalia kwenye uhakiki wa watumishi wa Umma kama utamuona mwenye jina hilo hapo manispaa ya Kigoma...na mwenzake pia Muuguz mkuu a.k.a mama la mama..ukiwaona nakutumia sasa hivi 100000 kwenye mpesa yakoDuuu
acha uongo
Hapana sio wengine waondolewe wengine wabaki..sasa nakuhakikishia kwamba mimi nina taarifa za uhakika toka ndani ya manispaa na inajulikana kabisa watu hawa hawana vyeti vya form four..sasa kama mnahakiki kwa upendeleo basi wale walioondolewa Ujiji Gungu kituo cha afya na Batist Hospitali warejeshwe jamani kha..KKK si ndiyo kiwango chao Mkuu.
Vidole pia havilingani na binadamu pia.ila kila baya lina mwisho muda ndiyo utaamua !wape mudaAngalia kwenye uhakiki wa watumishi wa Umma kama utamuona mwenye jina hilo hapo manispaa ya Kigoma...na mwenzake pia Muuguz mkuu a.k.a mama la mama..ukiwaona nakutumia sasa hivi 100000 kwenye mpesa yako
Huyu aliwahi kukaimu nafasi hiyo wakati flani ambapo mganga mkuu alikuwa Maginga(naye aliacha kazi) kisha kabla hajaidhinishwa na Tamisemi wakati ule akawa ameshachukua pesa kama posho ya kukaimu..kwa kweli Kigoma manispaa kama haina wenyewe vile..ni makundi ya wezi tu.Nashukuru Mh Wazir Mkuu alipokuja mwaka 2015 december aligundua magumashi ya mkurugenzi aliyekuwepo mzee nyambe na akamuondoa,,hajarudi mpaka leo..jamani Manispaa inatakiwa iangaliwe jicho pana la sivyo ni kichaka cha fisi!Hivi vyeo vya makazini vinapukutisha watu wengi sana, wenye elimu haba kulilia kuwa wakubwa kuanzia hospitalini mpaka kwenye u DMO na RMO,
Swali la kizushi,
Kwani hapo kigoma hamna MD au specialists ? Kwanini AMO awe DMO?
Hii kada ya udaktari inachangamoto sana makazini kuna mambo ya kishirikina watu hufanyiana ilikupata au kushushana vyeo ..
_ where ever you are remember me_
Hivi na watu walioko sekta ya afya wanaamini ushirikina! Tumekwisha, kama hao wanatakiwa watuondoe kwenye hizo fikra na imani wao wamejichimbia na kuweka mizizi kwenye ushirikina hakuna atakayesalimika.Hivi vyeo vya makazini vinapukutisha watu wengi sana, wenye elimu haba kulilia kuwa wakubwa kuanzia hospitalini mpaka kwenye u DMO na RMO,
Swali la kizushi,
Kwani hapo kigoma hamna MD au specialists ? Kwanini AMO awe DMO?
Hii kada ya udaktari inachangamoto sana makazini kuna mambo ya kishirikina watu hufanyiana ilikupata au kushushana vyeo ..
_ where ever you are remember me_
Unatakiwa uelewe vizuri mkuu nimezungumzia kwenye upande wa madaraka hospitalini m.kHivi na watu walioko sekta ya afya wanaamini ushirikina! Tumekwisha, kama hao wanatakiwa watuondoe kwenye hizo fikra na imani wao wamejichimbia na kuweka mizizi kwenye ushirikina hakuna atakayesalimika.
Nimekupata sana mzee wangu. Ila bado kichwa kinanizonga. Sisi wengine tunawaona hao waganga wa hospitalini ni watu wanaotuasa kujiepusha na mambo ya kishirikina, nimeshangaa sana unapotueleza kwamba waganga wanatumia ushirikina ili kupata madaraka.Unatakiwa uelewe vizuri mkuu nimezungumzia kwenye upande wa madaraka hospitalini m.k
_ where ever you are remember me_
Pamoja na habari yako kubeba majungu mengi, lakini kwenye uhakiki huu, nimegundua kuwa idara ya afya ambayo ni ngumu na nyeti ilikuwa imesheheni watumishi magumashi wengi. Swali najiuliza kama mtu form four alifeli akaamua badala ya ku re seat aende PHOTOCOPY and STATIONARY DOCUMENTS SECONDARY SCHOOL kujitwalia cheti kiulaini aliwezaje masomo magumu ya udactari ambayo enzi zetu wahenga PCB tuu ilikuwa inatupa uchizi? na je WANAPODAHILI WANACHUO KWENYE VYOU VYA AFYA SWALA LA VYETI HALISI HUWA HAMNAGA?Manispaa ya Kigoma Ujiji imemkaimisha Mganga mkuu wa manispaa mwenye elimu ya darasa la saba..Filimbi ya haki inaweza kuripoti
Mganga mkuu huyo Abigael Mika KASUMANI hana cheti cha form four,alianza kama mfagizi wa ofisi kisha akanunua cheti cha form four na kujiendeleza kimagumashi na kujipachika cheo cha AMO.
Lakini wakati wa ukaguzi wa vyeti vya form four yeye na Muuguzi mkuu wa manispaa(ARK) walijifungia katika chumba na kuchukua mafaili yao na kunyofoa vyeti vya form four(vilivyokuwa feki) na kuacha vya darasa la saba
Hata hivyo uhakiki uliwapita salama na kwa kutumia ushawishi wao wanawake hawa majabali wawili waliwahonga waheshimiwa flani wawili na kufanikiwa kumshawishi Diwani mmoja mpenda rushwa kuwapigia chapuo na kuhakikisha Kasumani anabaki kukaimu nafasi ya mganga mkuu baada ya aliyekuwepo Peter NSANYA naye kutumbuliwa na kuondolewa utumishi wa Umma kwa kughushi
Katika hali ya ajabu sana Abigael karudi kukaimu na sasa inadaiwa yeye na muuguzi mkuu huyu darasa la saba wanatumia nafasi husika kuwakomoa wabaya wao,kuhamisha wafanyakazi wanaojifanya 'wajuaji' na kuingilia mafaili ya watumishi wengine kuhakikisha hawapewi nafasi hiyo ikibidi kwa kutumia 'ushirikina' na mambo mengineyo..
Sisi wafanyakazi tulioondolewa katika utumishi wa umma kwa kukutwa na vyeti visivyo halali TUNASHANGAA SANA KWA SABABU TULINUNUA VYETI WOTE NA ABIGAEL HANA CHETI CHA FORM FOUR..ANAKUWAJE KAIMU MGANGA MKUU?
WIKI IJAYO TUTAELEZA NAMNA ALIVYOFANYA UFISADI KATIKA MANUNUZI YA IDARA KATIKA MWAKA WA FEDHA ULIOPITA NA NAKALA YA NYARAKA HUSIKA ILI UMMA UJUE NAMNA SINTOFAHAMU MANISPAA NA JINSI MKURUGENZI JJ MBOYA ALIVYOZUNGUKWA NA MAFISI..
Manispaa ya Kigoma Ujiji imemkaimisha Mganga mkuu wa manispaa mwenye elimu ya darasa la saba..Filimbi ya haki inaweza kuripoti