Dah! nimecheka kumbe unamkumbuka?Yule beki tatu wako aliyepata boyfriend Mlimani city anaendeleaje??
Amna..nimemkumbuka tuDah! nimecheka kumbe unamkumbuka?
Hajambo harusi mwenzi July mwaka huu karibu
Au ulimwelewa?
Utakuwa ulimwelewa usisahau Ku subscribe harusi yake nitairusha 😂😂Amna..nimemkumbuka tu
Utakuwa ulimwelewa usisahau Ku subscribe harusi yake nitairusha [emoji23][emoji23]
Unanitia hamu ya kuongeza mwinginee kapeaceKwa mukhtadha huo basi ndo maana inatakiwa wawe na wake wengi kadri wawezavyo maana k ikinuna hata ufanyeje hailiki lakini dudu popote linaamsha
PoyeeeeeHizi nyuzi zako za leo zinatutia genye bhana
Yako au?Machine 24 Hours Inapiga Mzigooo
AISEENa mtu anapokua na hasira show ya kibabe huwa inapigwa
RUDIA UPYA UTAELEWANini hiki money penny mbona sijakusoma
KIRU NDOROOOBOEE!Hahaha hiyo mashine inatwa antenna maana antenna inafanya kazi hata kama radio inatangaza kifo, inapiga mziki au radio ipo kimya.
Kama mwanaume hanuni, kwa nini mashine inune?
KIRU NDOROOOBOEE!
hatareee!Hahaha hakuna cha chapa ilale kitu ni ndindii kama jeki ya skania