Maajabu Makuu 3 ya Machine ktk tendo la ndoa...

Maajabu Makuu 3 ya Machine ktk tendo la ndoa...

Kumbe kweli bwana, kuna wakuu walisema umefungiwa mahali unagawa biriani, ndo mana ukawa kimya almost two weeks, daaaah mambo ni Moto, welcome back na maanjam yako kama yote hivi...
 
Nipo hapa nasaza na kuwazua kitandani

Leo kipekee napenda kuisifia machine ya wanaume

Machine ina maajabu makuu 3:
1. Ukiwa na huzuni - Machine inapiga mzigo
2. Ukiwa na Furaha -Machine inasimama kidedea
3. Ukiwa na kesi za jinsi au vifungo vya jela - Machine Bado inasimama na kupiga kazi

Kwani Machine hii hazinaga likizo jamaaa?!
Maana K bwana ikatokea Tu ukaiudhi, hafanyi KAZI lakini sio MACHINE inatembea tu

NDIO NIPO HAPA NAWAZA HAYA MAAJABU 3 YA MACHINE YA MWANAUME

NADHANI WAKUBWA WAMENIELEWA🤸

NAWATAKIA MEI MOSI NJEMA
NIMEFUNGIWA KUNDUCHI BEACH HOTEL NAHEMEA JUU JUU KAMA KOBRA MAANA NIMETUNDIKWA MACHINE ALAFU MTUNDIKAJI ALIKUWA AMENUNA BALAA

Cc: 50thebe Smart911 joanah Jokajeusi moneytalk Ekuweme

Mashine uhitaji stimulant kidogo tuu ifanye kazi katika hali yeyote iliyo mbele yake
 
Kumbe kweli bwana, kuna wakuu walisema umefungiwa mahali unagawa biriani, ndo mana ukawa kimya almost two weeks, daaaah mambo ni Moto, welcome back na maanjam yako kama yote hivi...
Wana pruv au risiti ya kuambatanisha walichoongea?!
 
Kwa mukhtadha huo basi ndo maana inatakiwa wawe na wake wengi kadri wawezavyo maana k ikinuna hata ufanyeje hailiki lakini dudu popote linaamsha
 
Back
Top Bottom