Njoka Ereguu
JF-Expert Member
- Apr 7, 2012
- 821
- 336
Mwaka 2015 uwe wenye mafanikio makubwa sana. Taifa letu linaingia kwenye Uchumi wa Gesi Asilia. Dira yetu ya Maendeleo inatulazimisha kufanya kazi kwa bidii zaidi na kwa ubunifu mkubwa kwa kutumia sayansi na teknolojia ili ifikapo Mwaka 2025 Tanzania iwe nchi ya kipato cha kati (uchumi imara). Umeme mwingi, wa uhakika, wa bei nafuu na unaopatikana kiurahisi vijijini na mijini ndiyo injini kubwa ya upatikanaji wa ajira mpya kwa vijana wetu. S Muhongo
Huu ndio ujinga na umbumbumbu wa bavicha..lizaboni...umeme unaotumika mtwara nao ni wa gesi.bei ya umeme mtwara haupo wa bei ya chini.hiyo bei nafuu anaoahidi muhongo itatoka wp?
Ukisikia uongo wa mchana ndio huu, haya maneno huwa yanawaponyoka tu midomoni mwao ila mioyoni mwao wanajua ni uongo. Nani atamuuliza Muhongo muda huo ukifika, kwani atakuwa kwao mara akilima matunda ili auze kwenye viwanda vya juisi
Reginald Mengi aka mchaga mzinifu akiona haya anatamani kujinyonga
Prof kanena maneno ya busara sana. Hapo hakuna porojo. Ni ukweli na uhakika
Bagenda ni mchumia tumbo. Full stop
Huyu fuska ndiyo alikuwa anataka kumchafua kijingajinga tu
View attachment 216111View attachment 216112View attachment 216113
Tehetehetehe! Sijapata kumuona mchaga mzinifu kama Reginald Mengikazi kwelikweli.huyu mzee wa kuchukua wajukuu zake utajiri wake unamponza
Mwenye picha BAKHRESA akiwa amepiga picha na vimwana kama dalali wa vitalu , REGINALD MENGIkazi kwelikweli.huyu mzee wa kuchukua wajukuu zake utajiri wake unamponza
Huyu fuska ndiyo alikuwa anataka kumchafua kijingajinga tu
View attachment 216111View attachment 216112View attachment 216113
Huyu fuska ndiyo alikuwa anataka kumchafua kijingajinga tu
View attachment 216111View attachment 216112View attachment 216113