Hawa jamaa bado wananyonywa na America yaani hwajapewa muda wa kupumua kuwait miundo mbinu bado madaraja yale yale ya miaka ya tisini bado kuna matundu ya risasi yaani kuna baadhi ya mitaa ni kama kigamboni Raia wengi walikimbia kipindi cha vita wakati kuwait ilipo vamiwa na Iraq,hawataki kurudi yaani ni kama somalia wengi waliozaliwa kipindi cha kuanzia 1990 mpaka leo hawajui kusoma wala kuandika ina population ndogo sana,kuanzia hapo kila kitu ni mmarekani ukiingia kuwaiti wanalo jeshi dhoofu sana,Sadam aliwapiga vibaya sana alitaka kuifanya kuwait iwe ni state ndani ya iraq ingekuwa sio america wangeisha,na wanazalisha gesi na mafuta kwa kasi ya ajabu sasa jiulize kwanini mpaka leo hawana shule.
Nawasiwasi na uchangiaji wako umekaa kichuki chuki... Kuwait hii au?Hawa jamaa bado wananyonywa na America yaani hwajapewa muda wa kupumua kuwait miundo mbinu bado madaraja yale yale ya miaka ya tisini bado kuna matundu ya risasi yaani kuna baadhi ya mitaa ni kama kigamboni Raia wengi walikimbia kipindi cha vita wakati kuwait ilipo vamiwa na Iraq,hawataki kurudi yaani ni kama somalia wengi waliozaliwa kipindi cha kuanzia 1990 mpaka leo hawajui kusoma wala kuandika ina population ndogo sana,kuanzia hapo kila kitu ni mmarekani ukiingia kuwaiti wanalo jeshi dhoofu sana,Sadam aliwapiga vibaya sana alitaka kuifanya kuwait iwe ni state ndani ya iraq ingekuwa sio america wangeisha,na wanazalisha gesi na mafuta kwa kasi ya ajabu sasa jiulize kwanini mpaka leo hawana shule.
Yes, hawajui hesabu isipokuwa juzuu tu...Juzuu itakuwa imewasaidia kupandisha uchumi wao na thamani ya pesa Yao.Warabu na hisabat hawapatan kabisa, wape juzuu tu
Waarabu nao ni kama waafrika tu, kinachowasaidia ni mafuta la sivyo wangekuwa fourth world society.
Mwarabu na elimu dunia wapi na wapi bwana,tena na hao wa4 si'ajabu walisoma ng'ambo ndo wakarudi makwao,wao elimu ya dunia sio muhimu wao ya ahera tu that's why wanashindwa kupambana na mazingira yao wanabaki kuuana wenyewe kwa wenyewe.
Hawana haja na somo la dunia.