Kuku kuku tu Jogoo jina!!!hormonz zimempelekea naye kuwezesha majike kutaga???
Ukistaajabu ya Musa,,, wakazi wa kijiji cha Malindi nchini Kenya wamegubikwa na hofu na woga baada ya tukio la kuku jike ambaye alikuwa amezaa mara mbili na kulea vifaranga vyake ghafla akaanza kuwika kama jogoo na kuanza kuwasarandia kuku wengine majike akiwapanda kama jogoo afanyavyo!!!mmiliki wa kuku huyo anaogopa hata kumchinja na amemtengea sehemu yake na kumuwekea makuku jike ambao wameanza kutaga!!!wataalam wa mifugo mnasemaje juu ya mabadiliko hayo au ndo mambo ya ushoga nayo yapo kwa wanyama pia!! Source amka na BBC leo alfajiri
....wakazi wa kijiji cha malindi nchini kenya wamegubikwa na hofu na woga baada ya tukio la kuku jike ambaye alikuwa amezaa mara mbili na kulea vifaranga vyake ghafla akaanza.....
nauliza huyo kuku ni mamalia hadi akazaa?
Dah! Kweli kuna maajabu. Nalog offhii dunia sasa inakoelekea ni Mungu tu anayejua, mambo mengi sana yanatokea nobody can explain, juzi tumeona mbuzi wanapanda juu ya miti kama paka, jana kuna mtoto mwenye haja kubwa 4 kazaliwa....leo hiii....na bado mlolongo unaendelea
Cameroon akamwambia: na wewe umezidi kuomba omba, kama unataka msaada this time, inama!!BBC + Cameroon = Wajinga ndio waliwao.