Maajabu hayataisha

[emoji23] [emoji23] [emoji23] sio mbaya ukichanganya hivyo viroba vya pumba na huyo jamaa ndo inatimia 25kg
 
Anatafuta kuvunja rekodi ya dunia
Fursa ya kuingizwa kwenye Guinness World Record .... afu aitangaze Tanzania kwa utalii wa ndani [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Huyu atakuwa alipuliza bange. Maana nasikia ukupuliza hii kitu unaweza Fanya kitu mpaka Baadae ukajishangaa nilifanya Mimi kweli???

ONYO...bange hairuhusiwi japo inaweza kukufanya ukalima ekari sita kwa siku moja peke ako..
 
Kwani ukiwa na mzigo ukakodi gari au toyo unafanyaje? Jamaaa amekodi lazima apande.😀
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…