Means=takataka.
Astaghifilullah!Ang'atwe?Mtoa mada unaweza kazi ya kutoa mbwa bandani?
Kweli mwamba!Nchi imejaaa wajinga sana,
Hela itumwe kwenye namba hiyo?Na Comrade Ally Maftah
JITU LA MIRABA
Nashindwa kuzuia hisia zangu katika kutabiri kazi atakazofanya Mh Paul Makonda (Katibu wa Uenezi na Itikadi Mstaafu) mkuu wa mkoa wa Arusha...
kijana atawafurahisha kwakweli....mwamba atawanyoosha,wafanyakazi wa serikali arusha.wananchi mpeni ushirikiano awaletee maendeleo
Pumbavu, Dar alileta maendeleo gani? sema atawaua kama alivoua darmwamba atawanyoosha,wafanyakazi wa serikali arusha.wananchi mpeni ushirikiano awaletee maendeleo
makonda kugombana na gambo nindotoHuwezi amini kama huyo anaweza akagombana sana na Gambo