Wapi tena jamani hata sijaiona hiyo tag, in fact sijaona tag yeyote leo zaidi ya quotes.
Hizi tags za JF sijui kwa nini huwa hazionekani zote. Zinaonekana zile ambazo zinakuwa in a good mood I guess!