LUBEDE
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 4,322
- 6,694
buha ha haha hah a ha haaaa,mkuu wewe mikate ilikunenepesha?weka kapicha kama ushahidi hapa...ili nasi tuongeze nyama mwilini.Mikate yote hyo bado ajanenepa.
buha ha haha hah a ha haaaa,mkuu wewe mikate ilikunenepesha?weka kapicha kama ushahidi hapa...ili nasi tuongeze nyama mwilini.Mikate yote hyo bado ajanenepa.
Yep. Very cool.I did...yourself?!
Yep. Very cool.

Siku hizi umeadimika kweli kweli, wasup?
Siku hizi umeadimika kweli kweli, wasup?
Thats just the way it is. Kuna uzi unakuhusu kuulee nilikutag.Nothing much, vijishughuli tu vya hapa na pale visivyoisha..
Thats just the way it is. Kuna uzi unakuhusu kuulee nilikutag.
Dah, kweli? Relaaax, my dear. Naona ulishatua huko. Ulijuaje ndio penyewe?Wapi tena jamani hata sijaiona hiyo tag, in fact sijaona tag yeyote leo zaidi ya quotes.
Hizi tags za JF sijui kwa nini huwa hazionekani zote. Zinaonekana zile ambazo zinakuwa in a good mood I guess!
Dah, kweli? Relaaax, my dear. Naona ulishatua huko. Ulijuaje ndio penyewe?
Utaiona tu, kuna fursa ya kibiashara hapo, ya kuuza sharubati ya machungwa. 😀Hahahahh!, what a coincidence kumbe ni penyewe?!, basi unaona nimekuona wewe lakini sikuona tag..
Hamna cha maigizo wala nini, hapo panahitaji uzoefu tu! Haha 🙂Anaigiza au ngoja aone kitachotokea
Hahaha eti ekzosi paipu!Ekzosi paipu ikitema hapo hakuna wadudu warukao na watambaao watabaki hai.



Utaiona tu, kuna fursa ya kibiashara hapo, ya kuuza sharubati ya machungwa. 😀


Hahaha. 😀 Hey, hows the going?![]()
![]()
Nimekuona!![]()