Maafisa wa TRA kipimajoto ITV live sasa hivi wanaboa mno

muhosni

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
1,108
152
Wanaongelea kero za transit goods (kwenda nje ya nchi)

Kwanza wanaonekana hawajiamini

Pili hanasuasua kujibu maswali

Tatu, hawana ufahamu wa kutosha kuhusu nini kinachoendelea katika mifumo yao

Angalau mmoja anajitahidi lakini wengine wanauza sura tu

Tazama kama unaweza
 
Wadau wanaopiga simu wanakanusha taarifa alizosema huyo afisa wa TRA anayejitahidi angalau kidogo kuongea wakati wenzake wako kimya
 
Wanaongea nadharia walizosoma kwenye makabrasha, wadau wanapiga simu kusema ni uongo kwamba wanachosema siyo kinachotokea on the ground hasa kwenye check points
 
Mdau anasema kila siku sheria mpya zinatungwa kukandamiza wasafirishaji lakini wadau hawahusishwi kutoa maoni matokeo yake utekelezaji wa sheria husika unakuwa mgumu
 
Mdau anaonya TRA kwamba hivi karibuni kutakuwepo na bandari sita mpya katika nchi zingine, ambazo ziinakusudia kutoa huduma kwa wateja hao hao wanaotumia bandari ya Dar. Hivyo kama TRA hawataamka basi tutawapoteza nchi zote zinazotumia bandari ya Dar
 
Back
Top Bottom